Sikiliza Rais wa Tanzania na afrika kusini
Ongea kiswahili lugha ya Afrika
Kiswahili ni lugha ya Afrika.Kwa hiyo,hatuna budi kukipenda kwani ni lugha yetu.
Tarehe 6 mwezi Februari mwaka 2022 nchini Etiopia kulikuwa mkutano wa nchi zote za umoja wa afrika ambako kuliidhinishwa kiswahili k**a lugha ya kazi ya umoja wa Afrika Union Africaine kwa kifaransa ama African union kwa kiingereza.Habari hiyo mliipokeaje wadau wa kiswahili!???
Karibuni
Kiswahili imekuwa lugha ya umoja wa Afrika UNESCO imepiga saini kuwa kila tarehe 7 julai kila mwaka itakuwa siku ya kuadhimisha siku ya kiswahili
Ongea kiswahili lugha ya Afrika Send a message to learn more
Hamjambo wadau wa ukurasa huu?maswali yenu yanasubiriwa ili yajibiwe
Habari yenu wadau.Hebu niwaulize,kuna wanaotaka kujiunga na kundi hili kwenye watsapp?
16/05/2019
Wengi wanadhani k**a kiswahili ni lugha ambayo haina manufaa au lugha ambayo haina thamani wakisema kuwa si muhimu kupendekezwa.
31/03/2019
Salama ninyi nyote wazalendo wa Burundi.Leo ningependa nitoe maelezo kwa neno hili lifuatalo:Mzalendo.Mzalendo ni mtu anayependa nchi yake.Asante.
Wenzangu vipi mbona hamsemi?ukulasa huu ulibuniwa kwa ajili yenu.kwa hio,msikose kutangaza vitu mlivyonavyo mioyoni mwenu.hamnswali lolote lile?
Mimi Ni murundi wa asili.tujifunze kiswahili tujiunge na Africa ya Mashariki.Acha namba ya wats'up hapa ili nikwunge kwenye kundi la wazungumzaji wa kiswahili
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
Camps Bay