12/01/2023
Karibuni sana Shule ya Precious Blood schools Geita! tunapatikana Nyankumbu Geita Mjini. Kwa mawasiliano tupigie kupitia 0754849454 , Shule yetu ni ya Bweni na kutwa ,usafiri wa mwanao kwenda na kurudi shule upo! Tunapokea wanafunzi kuanzia miaka 3 na kuendelea.