SUZA Global Center for Swahili Studies and Advancement

SUZA Global Center for Swahili Studies and Advancement

Share

Global Center for Swahili Studies and Advancement

Photos from SUZA Global Center for Swahili Studies and Advancement's post 05/08/2014
10/05/2014

Studioni Jumamosi ya leo katika kipindi cha KISWAHILI LUGHA yetu tunae Bi Mwanahija Ali Juma kutoka BAKIZA, Bwana Hassan hija haji Mhadhiri Chuo kikuu cha Taifa Cha Zanzibar Suza, Bwana Zahor Mwadini Muhudini Mhadhiri Chuo cha Kiislamu ZNZ, Mada ni KILA MSWAHILI ANAWAJIBIKA KUKUZA NA KUENDELEZA KISWAHILI. kwa ushauri,machango au maoni tuandikie kupitia barua pepe
[email protected]
Au simu namba 0777882088 au 0777873676

Photos 08/05/2014
08/05/2014

Usikose kuangalia kipindi cha KISWAHILI LUGHA YETU kinachotayarisha na Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA na Baraza la Kiswahili la Zanzibar BAKIZA na kurushwa hewani kila Jumamosi saa kumi na nusu jioni Katika Televisheni ya Shirika la utangaza Zanzibar ZBC. Na kila jumatatu saa kumi kamili katika Redio ya Shirika la utangaza Zanzibar ZBC. mada ya wiki hii ni Kila mswahili anawajibika kukuza na kuendeleza Kiswahili.

Photos 28/02/2014

SEMISTA YA PILI 2013/14 INNANZA JUMATATU TAREHE 03.03.2014, TUNAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MASOMO YENU

20/02/2014

Karibu SUZA Global Center kwa huduma za:-

1. Maktaba
2. Tafsiri
3. Ushauri
4. Utafiti

Tupo Vuga jengo la American Corner karibu na Shule ya Sekondari ya Bembella.`

au wasiliana nasi kupitia barua pepe [email protected]

15/12/2013

Kuna taarifa kuwa vijana wetu walioshiriki katika michezo ya TUSA (Tanzania Universities Sports Association) huko UDOM - Dodoma wamepata ajali mbaya wakiwa njiani kurudi nyumbani. Wengi wameumia na wawili wameumia vibaya akiwemo mmoja ambaye amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi. Vijana kutoka vyuo vya Zanzibar walikuwa ndani ya basi hilo maalum wakiwa pamoja na viongozi wao.
Tunamuomba Subhannahu wa Taala awape nafuu na wapone haraka, Aamin.

02/12/2013

SUZA kupitia kituo chake cha kimataifa cha taaluma za kiswahili na uenezi kuandaa kongamano la mwanzo la kiswahili.

Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Zanzibar Vuga
Zanzibar
255