09/01/2020
Alhamdulillah,Mwaka mpya,Mambo mapya, Eng. Aisha Rashid Suleiman, Aliyekuwa Mwanafunzi wa Uhandisi, Zanzibar University ametangazwa Mshindi wa mwanzo katika mashindano ya Ubunifu wa Tehama ambayo yaliandaliwa na Wizara ya Biashara na Viwanda ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)
Katika Tamasha la 6 la ujasiri amali kwa mwaka 2020 lililofanyika tarehe 9/1/2020
Tunakutakia ushindi mwema na mafanikio zaidi.