Wanafunzi pamoja na walimu wakiomba mungu awalinde na Shari za majini na watu.
Yussuf English Medium
Ni shule ya kisasa na yenye mandhari nzuri ya kujifunzia kwa watoto, ilioko visiwani Zanzibar nchini Tanzania. Yenye nursery na primary
16/10/2023
Wanafunzi wa yussuf English medium wakiwa kwanye mapumziko ya wiki
Wakijiandaa na mitihani ya taifa
16/10/2023
01/10/2023
Uongozi wa yussuf English medium
INAWATANGAZIA
WAZAZI , WALEZI na wapenda elimu skuli imeanza uandikishaji
kwa mwaka 2023
Skuli ipo KIANGA Branch
Ada zetu ni nafuu Sana
Nyote mnakaribishwa
13/11/2021
Wazazi / walezi NYOTE MNAKARIBISHWA kuwaandikisha watoto.
Usajili unaendelea
Karibuni nyote
ASALAM ALAIKUM
NATUMAI HAMJAMBO NYOTE
SISI HATUJAMBO PIA
TUNAWAARIFU WAMANCHI WOTE KUWA
TUNAENDELEA KUANDIKISHA WANAFUNZI
WAPYA
SKULI IPO KIANCA BRANCH
ADA ZETU NI NAFUU SANA
NYOTE MNAKARIBISHWA
KWA MAWASILIANO
0777 619 917 AU
0772 339 293
kazi inaendelea
hamjambo mambo poa
14/05/2021
Wanafunzi was yussuf english madium wakiwa nawalimu wao kwenye
22/09/2020
Karibuni Yussuf English Medium School ipo kianga branchi Skuli ina mazingira mazuri kwa mtoto wako kujifunza.
Wahi sasa unatoa ofa kuazia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 12. Na ikifika mwezi wa . utaanza malipo.
Kwa mawasiliano piga namba 0777 619 917 au 0772339293
Hii mambo vipi hamjambo? yussuf English medium school at Kianga Branch zanzibar.
Imeanza usajili wa mwaka 2021 na tunatoa ofa kwa mzazi/mlezi, atakaemuandikisha mtoto kuazia 1/9/20 20
Mwanafunzi huyo atasoma bure na malipo yataanza kutumika 04 / 01 2021siku ya jumatatu inshaalla.
Nyote mnakaribishwa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
KIANGA Street, P. O. BOX 1972
Zanzibar