Ujaze Moyo Imani ya Dini ya Kiislamu

Ujaze Moyo Imani ya Dini ya Kiislamu Mafundisho ya maisha ya muislamu anayoridhia Allah (SW)

Hakika Allah yuko pamoja na wenye kusubiri.
03/05/2026

Hakika Allah yuko pamoja na wenye kusubiri.

13/04/2026
02/04/2026

Umejifunza lipi jipya?

Asalamu alaykum , Eid njema kwa sote 🤲🤲🤲.
20/03/2026

Asalamu alaykum , Eid njema kwa sote 🤲🤲🤲.

Allah tupe mwisho mwema 🤲🤲🤲
15/02/2026

Allah tupe mwisho mwema 🤲🤲🤲

Nguzo tano za Uislamu⤵️1: Shahada:kushuhudia kwa Allah ni mmoja tu na Muhammad(S.A.w) ni kiumbe wake na Mtume wake.2: Sa...
14/02/2026

Nguzo tano za Uislamu⤵️

1: Shahada:
kushuhudia kwa Allah ni mmoja tu na Muhammad(S.A.w) ni kiumbe wake na Mtume wake.

2: Sala:
Kusali sala tano za faradhi.

3: Funga ya mwezi wa Ramadhan:

4:Kutekeleza ibada ya Hijja:
kwa wale wenye uwezo wa kufanya hivyo.

5: Zakka:
kutoka Zakka katika mali yako ikiwa imefikia kiwango cha kutolewa zakka.

Asalamu alaykum, Ijumaa Njema na Tusisahau kuisoma surah Al-Kahf inshaa Allah 🤲🤲🤲
06/02/2026

Asalamu alaykum, Ijumaa Njema na Tusisahau kuisoma surah Al-Kahf inshaa Allah 🤲🤲🤲

K**a unawatendea wema  wazazi wako sema Alhamdulillah 🤲🤲🤲
04/02/2026

K**a unawatendea wema wazazi wako sema Alhamdulillah 🤲🤲🤲

Ijumaa njema na tusisahau kuisoma Surah Al-Kahf inshaallah .
30/01/2026

Ijumaa njema na tusisahau kuisoma Surah Al-Kahf inshaallah .

Kusema na watu kwa wema nayo  ni ibada , Allah tujaalie tuwe miongoni mwao🤲🤲🤲
29/01/2026

Kusema na watu kwa wema nayo ni ibada , Allah tujaalie tuwe miongoni mwao🤲🤲🤲

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujaze Moyo Imani ya Dini ya Kiislamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ujaze Moyo Imani ya Dini ya Kiislamu:

Shortcuts

Share