Fat-Hi International Community School Zanzibar
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fat-Hi International Community School Zanzibar, School, Shangani, Zanzibar.
We are a progressive nursery and kindergarten that provides children with the tools they need for high academic achievement according to international standards
Karibu sana Fat-Hi Community School tumeanza usajili wa wanafunzi wapya kwa mwaka huu wa masomo.Mlete mtoto wako Leo kwa msingi mzuri wa taaluma kwa kijana wako. #0659315599 / 0777467685.
29/12/2023
Alhamdulillah Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Skuli yetu Fat-Hi Community imebahatika kuwa wa kwanza kiwilaya katika masomo yote isipokuwa English tumekuwa wa pili.
Jionee mwenyewe Jinsi watoto hawa Wa Fat-Hi Community School wanavyofurahia masomo yao wakiwa darasani. Kwanini umnyime mwanao fursa hii? Mlete leo kwa msingi mzuri wa mtoto wako. Tumeanza uandikishaji wa wanafunzi wapya karibuni sana. 0659315599/0717 326 995/0654371322
Angalia Jinsi watoto hawa wa Fat-Hi Community School wanavyojifunza wakiwa Darasani. Utapenda kwakweli. Mlete mwanao leo kwa matokeo bora kwa mtoto wako.
Ni Hapa Hapa Zanzibar Angalia Vipaji Vya Watoto Hawa Wa Fat-Hi International Community School Zanzibar. Tumeanza uandikishaji wa wanafunzi wapya kwa muhula mpya wa masomo. Karibuni.
Every Friday we have a Swimming Program. Our Students enjoying the Program for the health of their mental and physical fitness.
Wanavyofundishwa Watoto hawa hapa, hapa Zanzibar utapenda kiukweli (Fat-Hi)
Muandikishe mtoto wako leo upate matokeo mazuri kwake.
12/11/2020
Looking For Quality Education and Fee Consession?
Join The Study In Fat-Hi International Community School Now.
Enrollment Is Still On Process....
You Are All Welcome.
Je, unahitaji mtoto wako awe na uwezo wa kuandika, kosoma na kuonge English?
K**a ni Ndiyo, Suluhisho la ndoto yako hiyo ipo Fat-Hi International Community School iliyopo Shangani.
Karibuni Sana.
Wanafunzi wakiwa katika Story reading session.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Shangani
Zanzibar