Golden tree academic

Golden tree academic

Comments

KARIBU SANA AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL
Shukrani zote zimstahiki Allah, muumba wa viumbe vyote. Nijambo la kushukuru Allah kwa kutujaalia neema ya kuenea elimu katika kila kona ya ardhi yetu leo hii. Pia nichukue fursa hii kuwapongeza uongozi wa shule hii azadeh international school, kwa juhudi yao kubwa waloifanya hadi kufukia lengo walilolipanga, najua sio kazi nyepesi kukaa na kuwaza mpaka ukafikia kupata matunda ya yale uloyapanga, hongereni sana kwa hilo Allah akulipeni kila la kheri, nielekee kwa jamii kuitaka kuiunga mkono Azadeh international school kwani hii ipo kwa mafanikio yako na mtoto wako, fikiria kitu ambacho kitavutia kwa mtoto wako pale ambapo atasoma masomo yake ya shule lakini. Wakati huohuo anasoma na madrasa kabisa, pia mda muwafaka wa kurejea nyumbani k**a ilivyopangwa ni mapema mno kiasi kwamba mtoto ataweza kuhudhuria madrasa yake ya mtaani atakaporudi kutoka shule...... Allah atupe mwelekeo mwema kwa sote.
welcome in our new page of Azadeh international school in Tanzania -Zanzibar at Mwera mtofaani

Welcome golden tree academic Azadeh international school

Operating as usual

Photos from Golden tree academic's post 01/04/2021

Photos from Golden tree academic's post

01/03/2021
01/03/2021
01/03/2021
Photos from Golden tree academic's post 01/03/2021

Photos from Golden tree academic's post

Golden tree academic updated their phone number. 28/02/2021

Golden tree academic updated their phone number.

Golden tree academic updated their phone number.

Golden tree academic updated their website address. 28/02/2021

Golden tree academic updated their website address.

Golden tree academic updated their website address.

24/05/2020
08/05/2020
25/04/2020
25/03/2020

Asaalam aleykum uongozi wa azadeh school unawaomba watanzania wote na wasokuwa watanzania kufuata magizo ya serekali kupitia wizara ya afya yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa serekali kuchukuwa tahadhari juu ya ungonjwa huu hatar ambao umekuwa tishio kwa dunia nzima kinga kubwa ni kufuata maelezo kama yanavyotolewa tuwache kufanya masihara juu ya ugonjwa huu Mungu ibariki Tanzania na utulinde na maambukizi ya ugonjwa huu. Chukuwa Tahadhari and stay home

03/01/2020
03/01/2020

Whatsap number :+255772757422
:+255777843310

Call :+255655843310
:+255777843310

04/12/2019

A Message from the Director

A very warm welcome to the AZADEH International School,

At AZADEH our mission is to provide an outstanding education and inspire our students to engage in both academic and enriching extra-curricular programmes. Our students set high expectations for themselves, enjoy school and the community is constantly rewarded by their achievements.
Our school is place where your child can learn and build up their creativity and innovative power through our specially designed curriculum with qualified and experienced , By Jom view,

06/11/2019

You are Welcome to our school
for more Tel:0777843310

23/10/2019

Azadeh international school's cover photo

17/10/2019

Uongozi wa AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL,
Unapenda kuwambia wazazi/walezi kiujumla kuwa , wanaendelea KUPOKEA WANAFUZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019 -2020
Skuli yetu Ni English medium
Tunafundisha lugha tatu kama
English
Spainish
Arabic

Lkn pia watoto watafundishwa computer hapo hapo wapo walimu wenye sifa na wazoefu Kwa kazi hiyo

Tupo Mtofaani kigorofani-Zanzibar
Usafiri upo wa uhakika kwa maeneo yote

Shule ni asubuhi had saa saba mchana

Tell no! 0777843310

12/05/2019

Azadeh international school

Uongozi wa AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL,
Unapenda kuwambia wazazi/walezi kiujumla kuwa , wanaendelea KUPOKEA WANAFUZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019
Skuli yetu Ni English medium
Tunafundisha lugha tatu kama
English
Spainish
Arabic
Tupo Mtofaani kigorofani-Zanzibar
Usafiri upo wa uhakika kwa maeneo yote

Lkn pia tupo na tuition saa kumi jioni na SAA moja usiku
English course
Arabic course
Painish course

Tell no! 0655843310

[05/04/19]   Welcome azadeh international school

16/01/2019
12/01/2019

Uongozi wa AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL,
Unapenda kuwambia wazazi/walezi kiujumla kuwa , wanaendelea KUPOKEA WANAFUZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019
Skuli yetu Ni English medium
Tunafundisha lugha tatu kama
English
Spainish
Arabic
Tupo Mtofaani kigorofani-Zanzibar
Usafiri upo wa uhakika kwa maeneo yote

Lkn pia tupo na tuition saa kumi jioni na SAA moja usiku
English course
Arabic course
Painish course

Tell no! 0655843310

07/01/2019

Photos from Azadeh international school's post

03/01/2019

Welcome Azadeh international school for register your kids in 2018/2019 .karibuni Azadeh international school kwa kumuandikisha mwanao

01/01/2019

Welcome azadeh international school for bring your kids

[12/11/18]   Habar kwa wale wote waliomba nafas za kazi azadeh international school kesho SAA mbili asubuhi wanaombwa kufika azadeh international school kwa ajili ya interview asante

03/12/2018

Oral Taking, conversation time,

02/12/2018

Uongozi wa AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL,
Unapenda kuwambia wazazi/walezi kiujumla kuwa , wanaendelea KUPOKEA WANAFUZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019
Skuli yetu Ni English medium
Tunafundisha lugha tatu kama
English
Spainish
Arabic
Tupo Mtofaani kigorofani-Zanzibar
Usafiri upo wa uhakika kwa maeneo yote

Lkn pia tupo na tuition saa kumi jioni na SAA moja usiku
English course
Arabic course
Painish course

Tell no! 0655843310

01/12/2018

Azadeh international school is the best school for your suddenly development of your kids in education contact:+255843310/0773779044

01/12/2018

Azadeh international school bdo inaendelea kupokea wanafunz wahi mapema nafas ni chache kwa mawasiliano zaid 0773779044/0655843310

01/12/2018
01/12/2018

For better development of education for your child bring azadeh international school for more information contact with us +255655843310

29/11/2018
25/11/2018

TANAGAZO,

AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL

INAENDELEA KUANDIKISHA WANAFUNZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019 NA PIA IMETOA OFFER KABAMBE YA PUNGUZO LA BEI KWA WATOTO MAYATIMA, HIVYO BASI NDUGU MZAZ/ MLEZI WAHI MAPEMA KUMUANDIKISHA MTOTO WAKO, MAZINGIRA YA SHULE NI MAZUR LKN PIA NA USAFIRI UPO WA UHAKIKA KWA MAENEO YOTE YA MJINI, WATOTO WATAFUNDISHWA, MASOMO YAO YOTE ,COMPUTER NA LUGHA 3, KAMA ENG, ARABIK, AND SPAIN, WALIMU WAPO WALOBOBEA KWA KAZI HIYO NYOTE MNAKARIBISHWA WAHI MAPEMA KWANI NAFASI NI CHACHE TUPO MTOFAANI-Z,BAR KWA MAWASILIANO ZAIDI TEL: 0655843310 .AHSANTE

21/11/2018

TANGAZO AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL ,

INAPENDA kuwataarifu wazazi/walezi KUWA wanaendelea KUPOKEA WANAFUZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2018-2019
Nusary and primary darasa la kwa nza mpaka la pili, tunapokea,

Wanafuzi pia watafundishwa luhga tatu kama
English , writing, reading, Translation and Talking

Arabic, writing, reading, Translation And Talking

Spainish, Writing, reading, Translation And Talking

Tupo mtofaani kigorofani -Z,bar for more: Tell no: 0655843310

Usafiri upo wa uhakika kwa maeneo yote ya mjini kama Amani, Saateni ,kianga, Mwera, Chumbuni, kidatu, Mchezani, Bububu, Mbuzini, Chuini, Masingini, nk KARIBUNI SANA,

Videos (show all)

Asaalam aleykum uongozi wa azadeh school unawaomba watanzania wote na wasokuwa watanzania kufuata magizo ya serekali kup...
You are Welcome to our school for more Tel:0777843310
Oral Taking, conversation time,
TANAGAZO,  AZADEH INTERNATIONAL SCHOOLINAENDELEA KUANDIKISHA WANAFUNZI WAPYA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2019 NA PIA IMETOA...
TANGAZO AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL , INAPENDA  kuwataarifu wazazi/walezi KUWA wanaendelea KUPOKEA  WANAFUZI WAPYA KWA M...
TUMO MTOFAANI KIGOROFANI-ZANZIBAR, TELL NO: 0655843310
YOU ARE WELCOME ,IN OUR SCHOOL FOR MORE INFORMATION, CONTACT WITH US BY TELL NO: O655843310, MWERA MTOFAANI KIGOROFANI-Z...
TANGAZO AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL , INAPENDA  kuwataarifu wazazi/walezi KUWA wanaendelea KUPOKEA  WANAFUZI WAPYA KWA M...
TANGAZO AZADEH INTERNATIONAL SCHOOL , INAPENDA  kuwataarifu wazazi/walezi KUWA wanaendelea KUPOKEA  WANAFUZI WAPYA KWA M...

Location

Category

Telephone

Address

MTOFAANI KIGOROFANI-ZANZIBAR
Zanzibar
Other Education in Zanzibar (show all)
Treasure Education Institute Treasure Education Institute
MASINGINI - ZANZIBAR
Zanzibar

we help orphans, homeless children and miserable children for free. We welcome any body who wants to volunteer in teaching them, helping material, supporting financial or else to save the children.

Voice of Voiceless Voice of Voiceless
Zanzibar
Zanzibar

Jukwaa pekee kwa ajili ya watu mbalimbali, kuongea, kujadili na kushauriana changamoto mbalimbali zinazotuzunguka na namna ya kuzitatua. Jukwaa hili limesheheni vitu mbalimbali vitakavyokuelimisha, kufurahisha na kukutoa stress.

IQRAA Islamic International IQRAA Islamic International
Darajani
Zanzibar, 09777

" Read in the name of Lord who created " {Qur an 96.1}

Mr.fundi Mr.fundi
Mwera Mtofaani
Zanzibar

Hii ni page kwa ajili yako kwa kupata elimu, michezo na burudani bila kusahau kutangaza biashara yako.

Zanzibar Focus Foundation Zanzibar Focus Foundation
Zanzibar

Zanzibar Focus Foundation is a Non Governmental Organization (NGO's) that brought together teachers and students for promoting education in Zanzibar.

Karume Institute Of Science And Technology Karume Institute Of Science And Technology
Karakana
Zanzibar, P.O. BOX 476

Karume Institute of Science and Technology (KIST), is a parastatal organisation under the Ministry of Education and Vocational Training.

Zanzibar adventure Zanzibar adventure
Nungwi Zanzibar, P.o Box 2591
Zanzibar

Zanzibar adventure is an organization deals with arrangement for accommodations, tours and transfers

Flora primary school Flora primary school
Zanzibar, +255

Zanzibar Climate Change Alliance Zanzibar Climate Change Alliance
Mwanakwerekwe
Zanzibar

Dhow Countries Music Academy (DCMA) Dhow Countries Music Academy (DCMA)
Old Customs House, Mizingani Rd
Zanzibar, 255

The school provides a unique opportunity for the inhabitants of Zanzibar and the Dhow Regions.

Acme nursery and primary school Acme nursery and primary school
Fuoni, Mtundani
Zanzibar

Acme Nursery and Primary school - ANPS Was established in 2015, a good progress and with increase in number of students between 10% 25% each year