01/09/2023
Jambo limeiva
Wiarc third graduation ceremony
REGISTRATION
NACTE - REG/BTP/093P
VTA - 2017/00044/1
WEMA-RPTC/05
01/09/2023
Jambo limeiva
Wiarc third graduation ceremony
31/08/2023
31/08/2023
MAONESHO YA WIKI YA ELIMU YA JUU PEMBA.
Wiarc imefanikiwa kuweza kuiwakilisha vyema wiki hii pendwa kisiwani petu.
Wete Institute of Academic Research and Consultancy - WIARC
WIARC TUNAJAMBO LETU TAREHE 02/09/2023 SAA MBILI ZA ASUBUHI PALE KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI KIZIMBANI WETE PEMBA.
NYOTE MUNAKARIBISHWA.
WIARC Ndio mkombozi wako.
23/03/2023
Ramadhan Karim
08/03/2023
Happy Women Day
07/03/2023
Aluta Continous
Sasa kupitia WIARC ajira iko mikononi mwako.
Unasubiri nini jiunge sasa na chuo ili uweze kujikwamua kimaisha.
Chaguo ni lako;
a) Ufundi wa Cm na komputa
b) Graphic Design
06/03/2023
Ni kawaida kwa kila mwisho wa mwaka wa masomo kwa chuo cha WIARC Kufanya kikao na bodi ya Ushauri ya chuo (Advisory Body) kuyaeleza mafaniko, changamoto na malengo ya chuo.
Ushauri na maelekezo ya kitaaalamu hutolewa na bodi hii na kuutaka uongozi pamoja na wamiliki wa chuo kuyafanyia kazi.
Bodi ya ushauri wa chuo cha wiarc huongozwa na mwenyekiti ndugu Khamis Rashid Suwed pamoja ja wajumbe wake kutoka sekta tofauti tofauti serikalini pamoja na kwenye jamii.