East African Kiswahili Commission

East African Kiswahili Commission Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from East African Kiswahili Commission, Education, Zanzibar.

The East African Kiswahili Commission (EAKC) coordinates and provides advice to the East African Community (EAC) Partner States on all matters related to Kiswahili research, teaching, learning and development as the lingua franca of the region.

Viongozi na wadau walikutana kwa lengo moja, kujenga mustakabali bora kupitia umoja, utamaduni na lugha yetu. Umoja wa w...
17/02/2026

Viongozi na wadau walikutana kwa lengo moja, kujenga mustakabali bora kupitia umoja, utamaduni na lugha yetu. Umoja wa watu ndio msingi wa maendeleo ya kweli
Tunaendelea kujenga EAC iliyo imara zaidi kupitia ushirikiano wa wananchi wake.

Wiki iliyopita, Katibu Mtendaji wa  baada ya Kikao cha kupitia Itifaki ya Kuanzishwa kwa  alitembelea  Walizungumzia mik...
16/08/2025

Wiki iliyopita, Katibu Mtendaji wa baada ya Kikao cha kupitia Itifaki ya Kuanzishwa kwa alitembelea Walizungumzia mikakati ya kuimarisha ushirikiano baina ya Taasisi hizi za JAM katika utekelezaji wa majukumu yao hasa wakati huu ambapo lugha ya Kiswahili imetambuliwa k**a lugha rasmi na lugha ya mawasiliano mapana.

🌎 Maadhimisho ya Nne ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yanaendelea nchini Rwanda katika Hoteli ya Serena, jijini Kig...
07/07/2025

🌎 Maadhimisho ya Nne ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yanaendelea nchini Rwanda katika Hoteli ya Serena, jijini Kigali. Sherehe hizi zilianza jana kwa kongamano la vijana na warsha la kitaaluma. Leo zilianza kwa maandamano ya matembezi ya amani kutoka City Hall hadi Hoteli ya Serena, yakihudhuriwa na washiriki kutoka pembe mbalimbali za dunia.

➡️ Kauli mbiu ya mwaka huu ni:
“Kiswahili, Elimu Jumuishi na Maendeleo Endelevu”

📍Kauli mbiu hii inasisitiza nafasi ya Kiswahili katika kuendeleza elimu jumuishi inayowajumuisha watu wote bila ubaguzi na kuchangia katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu barani Afrika na duniani.

Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki inaamini kuwa Kiswahili, kikitumika ipasavyo, kinaweza kuvuka mipaka ya kieli...
06/07/2025

Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki inaamini kuwa Kiswahili, kikitumika ipasavyo, kinaweza kuvuka mipaka ya kielimu, kusaidia makundi yaliyo hatarini,na kuinua sauti za walionyimwa fursa- Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Kando ya Mkutano wa 20 wa Baraza la Kisekta,  Dkt. Caroline Asiimwe  ES  na Jamhuri ya Kenya wamekabidhi Jamhuri ya Rwan...
15/06/2025

Kando ya Mkutano wa 20 wa Baraza la Kisekta, Dkt. Caroline Asiimwe ES na Jamhuri ya Kenya wamekabidhi Jamhuri ya Rwanda bendera ya k**a wenyeji wa maadhimisho ya nne siku ya Kiswahili Duniani. Ishara hii imefungua rasmi shughuli za MASIKIDU kwa upande wa JAM.

19/04/2025
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani 2025!Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (KAKAMA) inasherekea wanawake   wote du...
08/03/2025

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani 2025!
Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (KAKAMA) inasherekea wanawake
wote duniani hasa wale ambao wako mstari wa mbele katika kuendeleza matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa maendeleo na ustawi wa jamii

Kadaga


ita

Address

Zanzibar

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East African Kiswahili Commission posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to East African Kiswahili Commission:

Shortcuts

Share

Category