Generous Education Center

Generous Education Center Ni page inayohusiana na elimu inayomilikiwa na Generous education center. Hakuruhusiwi kuzungumzwa jambo nje ya masuala ya elimu

27/05/2022

NINI KILIKUWEPO KIPI KIMEIBUKA

Uwelewa/ufahamu umekua haba kwenye vichwa vya wanafunzi wa sasa

Tatizo nini
1- mitaala mibovu
2- utandawazi
3- umasikini
4- wazazi

Ama ni kipi kiloikumba jamii yetu

Generous tuna furaha kubwa kwa kiongozi wetu mkuu kuoa hapo janaKwa pamoja tunamtakia heri na fanaka katika fungate lake...
15/01/2022

Generous tuna furaha kubwa kwa kiongozi wetu mkuu kuoa hapo jana

Kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka katika fungate lake
Allah ampe wepesi kwa kadari na rehema zake

26/01/2021

Hongereni sana wanafunzi wetu mulofaulu na musivunjike moyo mulokua hamujabahatika ila kazeni moyo bado muna nafasi

15/01/2021

GENEROUS EDUCATION CENTER
Inatangaza nafas za masomo
saa 1:00 uck had 3:00 uck chuo cha udongo kwa std 6&F2
0773950709

03/09/2020
06/05/2019

Generous education center
Inawatakia waislam duniani kote mfungo mwema wa Ramadhani

Hii ndo sababu ilopelekea kutoa mapumziko ya wiki moja kwa wanafunzi wetu kwa kuhofia usalama wao TUKUTANE 21 MAY 2018
14/05/2018

Hii ndo sababu ilopelekea kutoa mapumziko ya wiki moja kwa wanafunzi wetu kwa kuhofia usalama wao TUKUTANE 21 MAY 2018

Team   ikiwa imekumbwa na furaha ktk hafla ya kuazimisha furaha ya teacher wao ndugu omar abdallah
25/11/2017

Team ikiwa imekumbwa na furaha ktk hafla ya kuazimisha furaha ya teacher wao ndugu omar abdallah

24/11/2017

Generous education center inawaalika wanafunz wote wanaosoma na waliosoma hapo, katika happy day ya kuzaliwa kwa mwalimu mpendwa hapo kituoni pao baada ya sala ya magharibi leo
Zawadi zinapokelewa
Kufika kwako ndio mafanikio ya khafla hii
Ahsate

21/01/2017

hi

Umoja ni nguvu
29/12/2016

Umoja ni nguvu

Address

Jang'ombe
Zanzibar

Telephone

+255652641210

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Generous Education Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category