Zanzibar University

Zanzibar University The official Zanzibar university page,
The spring of Knowledge and virtue. [email protected] | Admission
http://www..zumis.ac.tz/ Found 1994.

Zanzibar University (ZU) is a private university in Zanzibar, Tanzania . It opened in 1998 as the first university in Zanzibar, It is a private university sponsored by the Darul Iman Charitable Association, an Islamic religious organization in Ontario, Canada. It is situated at Tunguu area, in the Central District, some 12 miles (19 km) from Zanzibar Town. The University campus, with a total area of 170 acres (0.69 km2) of land, is located among quiet countryside surroundings overlooking the Indian Ocean. There is public transport to the University. More
http://zanvarsity.ac.tz/index.php?zu=about
or
https://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar_University?wprov=sfla1

Mafunzo yetu ya Uandishi wa Habari hapa ZU yanaenda mbali zaidi kwa kuwafundisha vijana Elimu  kwa Vitendo katika maeneo...
05/09/2026

Mafunzo yetu ya Uandishi wa Habari hapa ZU yanaenda mbali zaidi kwa kuwafundisha vijana Elimu kwa Vitendo katika maeneo husika. Nafasi za kujiunga na Shahada ya Habari yaanj BA Mass Communication bado zipo. Unasubiri nini? Wahi leo. Nafasi ni Chache!

Mafunzo yetu ya Uandishi wa Habari hapa ZU yanaenda mbali zaidi kwa kuwafundisha vijana Elimu wa Vitendo katika maeneo h...
05/09/2026

Mafunzo yetu ya Uandishi wa Habari hapa ZU yanaenda mbali zaidi kwa kuwafundisha vijana Elimu wa Vitendo katika maeneo husika. Nafasi za kujiunga na Shahada ya Habari yaanj BA Mass Communication bado zipo. Unasubiri nini? Wahi leo. Nafasi ni Chache!

04/09/2026

ZU ni chuo cha kipekee kinachojali na kumjenga mwanafunzi kimailifu kukabiliana na maisha hasa katika zama hizi za ushindani mkubwa katika Soko la Ajira. Nafasi bado zipo. Jiunge nasi sasa yubadilishe maisha yako!

03/09/2026

ZU ni chuo pekee Zanzibar kinachotoa masomo ya Shahada ya Sheria na Shariah. Maisha na mazingira ya ufundishaji ni mazuri na rafiki kwa wanafunzi na walim kwa ujumla. Unasubiri nn? Dirisha la pili la maombi liko wazi. Jiunge sasa!

Faces of ZU Senate 02.09.2026: In Progress!
02/09/2026

Faces of ZU Senate 02.09.2026: In Progress!

Be the FIRST ...Kuwa miongoni mwa wanafunzi wa kwanza kusoma Shahada ya Sanaa na Ualimu yaani BA with Education hapa ZU ...
02/09/2026

Be the FIRST ...Kuwa miongoni mwa wanafunzi wa kwanza kusoma Shahada ya Sanaa na Ualimu yaani BA with Education hapa ZU kuanzia mwaka huu! Maombi ni sasa nafasi ni chache!

Hafla rasmi ya kutia saini makubaliano ya kimkakati katia ya Zanzibar University  na wahisani kutoka taasisi ana asasi z...
01/09/2026

Hafla rasmi ya kutia saini makubaliano ya kimkakati katia ya Zanzibar University na wahisani kutoka taasisi ana asasi za kiraia nchini Uingereza yamefanyika tarehe 31 08 26 huko Tunguu Kibele Zanzibar. HAFLA hiyo ilisimamiwa na Prof Mohammed Awedelkarim Makamu mkuu wa Chuo na kwa upande wa Wahisani hao Syed Maulana AbuJaffar Saleh alisimamia zoezi hilo. Mashirikiano hayo yatakuwa kayika sector ya Afya na mengineyo.

01/09/2026

ZANZIBAR UNIVERSITY STRENGTHENS PARTNERSHIP FOR INSTITUTIONAL GROWTH AND ACADEMIC EXCELLENCE

On 31st August 2026, Zanzibar University (ZU)* was pleased to welcome a delegation from *lI Next Scope Tanzania for a significant engagement that culminated in the signing of a Memorandum of Understanding (MoU) between the two institutions.

The MoU was signed by Prof. Muhammed Awadelkarim Elhussein, Vice Chancellor of Zanzibar University, and Prof. Dr. Saadalla Salaheldin, Senior Overseas Advisor – Middle East, Gulf & Africa, I Next Scope Tanzania.

The partnership underscores the shared commitment of both institutions to fostering institutional growth, academic excellence, knowledge exchange, innovation, and mutually beneficial collaboration.

Through this strategic partnership, Zanzibar University and I Next Scope Tanzania look forward to creating new opportunities that will contribute to the advancement of higher education and strengthen the impact of both institutions at national, regional, and international levels.

Together, we build partnerships.

Together, we advance excellence.

www.zanvarsity.ac.tz

ZANZIBAR UNIVERSITY STRENGTHENS PARTNERSHIP FOR INSTITUTIONAL GROWTH AND ACADEMIC EXCELLENCEOn 31st August 2026, Zanziba...
01/09/2026

ZANZIBAR UNIVERSITY STRENGTHENS PARTNERSHIP FOR INSTITUTIONAL GROWTH AND ACADEMIC EXCELLENCE

On 31st August 2026, Zanzibar University (ZU)*l was pleased to welcome a delegation from I Next Scope Tanzania for a significant engagement that culminated in the signing of a Memorandum of Understanding (MoU) between the two institutions.

The MoU was signed by Prof. Muhammed Awadelkarim Elhussein, Vice Chancellor of Zanzibar University, and Prof. Dr. Saadalla Salaheldin, Senior Overseas Advisor – Middle East, Gulf & Africa, I Next Scope Tanzania.

The partnership underscores the shared commitment of both institutions to fostering institutional growth, academic excellence, knowledge exchange, innovation, and mutually beneficial collaboration.

Through this strategic partnership, Zanzibar University and I Next Scope Tanzania look forward to creating new opportunities that will contribute to the advancement of higher education and strengthen the impact of both institutions at national, regional, and international levels.

Together, we build partnerships.

Together, we advance excellence.

www.zanvarsity.ac.tz

01/09/2026

Mwanafunzi Swafaa Mohammed Ali anasomea kozi ya Uhusiano wa Kimtaifa na Diplomasia hapa ZU. Msikilize akiongea lugha pendwa ya Kiswahili kwa ufanisi mkubwa! Admissions now open!! Apply

Address

Zanzibar University, Tunguu
Zanzibar
2440TUNGUU,ZANZIBAR

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar University posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Zanzibar University:

Shortcuts

Share