13/05/2026
Leo 13.5.2026,SUFA SCHOOLS tulitembelewa na wajumbe kutoka Tume ya Mipango( Zanzibar) ,kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, walizungumza na wanafunzi wa sekondari kwa kuwashauri namna nzuri ya kutimiza malengo na ndoto zao kupitia masomo wanayosoma na vipaumbele vya serikali katika elimu kwa sasa.
Wanafunzi na waalimu waliohudhuria walipata nafasi ya kuuliza maswal na maelezo ya ziada.
Quality Education is Our Compass