Treasure English Medium Nursery and Primary

Treasure English Medium Nursery and Primary Tresure English medium nursery and primary school ina uhitaji wa mwlimu mmoja wa nursery na mmoja wa

26/07/2025

Habari zenu wapenda - nakwambieni kuwa maisha hayatasimama kwakuwa unapitia magumu, pambana mpaka dakka ya mwisho. Enjoy your day love you.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Nicee Fred, Vein Centre
26/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Nicee Fred, Vein Centre

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Adriano Yohana Ruhamvya, Mercy Patrick, Shilole Samike, E...
27/03/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Adriano Yohana Ruhamvya, Mercy Patrick, Shilole Samike, Editoto Benson, Agnes David Vario, Masenga Matesha, Triple Dhul Ummu

21/03/2024

Naomba nichukue nafasi hii na niombe dakika kidogo katika muda wako adhim, kuwashukuru wote mnaotusapoti japo kwa ku follow na kulike Page yetu. Sapoti yenu ni mhimu sana kwetu.
Ahsanteni: Follow Page please!

09/06/2023

Follow Page yetu kwani tunakuhitaji sana.

18/05/2023

Building a long-term, healthy and sustainable business isn't the result of magic, but understanding the importance of adapting and growing.

04/02/2023

Napenda kukushukuruni, wote mlio like au kufolo page yetu kwani hola apoti yenu huenda tusingefika mbali. Ahsante na Mungu awazidishie baraka!

Habari ya muda huu ndugu yangu.Mwalimu anahutajika awe anaweza kusomesha masomo yafuatayo , kiarabu dini ya kiisilamu na...
31/07/2022

Habari ya muda huu ndugu yangu.
Mwalimu anahutajika awe anaweza kusomesha masomo yafuatayo , kiarabu dini ya kiisilamu na Kiswahili kwa weledi kabisa. Awe wa k**e pia awe Zanzibar. Skuli ni maandalizi hivyo awe wa maandalizi. Skuli ipo kiembesamaki Zanzibar. Tuma vyeti vyako kwajia ya1whatsapp nomba 0719 267 394 au uvilete ofisini. Like page yetu k**a mudau wetu.
Ahsante.

Hata safari ndefu vyovyote itakavyo kuwa, ila huanza na hatua moja tu! LIKE PAGE yetu k**a rafiki!
09/06/2022

Hata safari ndefu vyovyote itakavyo kuwa, ila huanza na hatua moja tu! LIKE PAGE yetu k**a rafiki!

Nakupendeni sana, kazaneni tupasi mitihani ya darasa la nne. Kupasi kwenu ndiyo fahari ya mwalimu na mzazi pia. -Page ye...
24/05/2022

Nakupendeni sana, kazaneni tupasi mitihani ya darasa la nne. Kupasi kwenu ndiyo fahari ya mwalimu na mzazi pia. -Page yetu k**a rafiki mhimu.

K**a mipango yako ni kwa mwaka mmoja, panda mpungaK**a mipango yako ni kwa miaka kumi panda mtiK**a mipago yako ni miaka...
20/05/2022

K**a mipango yako ni kwa mwaka mmoja, panda mpunga
K**a mipango yako ni kwa miaka kumi panda mti
K**a mipago yako ni miaka mia somewhat mwanao
-Page yetu k**a rafiki.

Hatua yakwanza huwa ni ngumu sana, mpaka kufikia mafanikio, ujue kazi umeifanya.    yetu k**a sapoti yako kwetu. Ahsante...
14/05/2022

Hatua yakwanza huwa ni ngumu sana, mpaka kufikia mafanikio, ujue kazi umeifanya. yetu k**a sapoti yako kwetu. Ahsante.

Address

Kiembesamaki
Zanzibar

Telephone

+255719267304

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Treasure English Medium Nursery and Primary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Treasure English Medium Nursery and Primary:

Shortcuts

Share