Al-Ameen Islamic School

Al-Ameen Islamic School Al-Ameen Islamic school
We offer Education:
Secular Education
Madrasa (Islamic Education)
Islamic be

Ujenzi wa masjid ukiendelea hapa katika viwanja vya skuli yetu.
21/07/2020

Ujenzi wa masjid ukiendelea hapa katika viwanja vya skuli yetu.

17/05/2020

Habari njema kwa wanafunzi

16/01/2020
16/01/2020
12/01/2020

AL-AMEEN ISLAMIC SCHOOL
TAZARI-ZANZIBAR.
Taarifa: Ndugu, Kesho hakutakuwa na skuli, watoto waende madrasa zilizokaribu.
Jumatatu tunaingi k**a kawaida In shaa Allah.
Ahsanteni.

03/01/2020

AL-AMEEN ISLAMIC SCHOOL
TAZARI-ZANZIBAR
Taarifa ya kufungua skuli:
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.
MZAZI/MLEZI, unaarifiwa kuwa skuli itafunguliwa kesho Jumamosi 04/01/2020. Hivyo unasisitizwa kukamilisha vifaa vya kusomea kwa ajili ya mtoto wako, vikiwemo; Ada ya mwaka, sare, mabuku8 likiwemo la vyumba, penseli na mengineyo
Kwa maelezo zaidi fika ofisini au wasiliana nasi kwa namba 0773661028
Whatsap 0773661028
Facebook search: Al-Ameen Islamic School
Email: [email protected]
P.O.BOX 2126 Zanzibar
Ahsante

03/01/2020

AL-AMEEN ISLAMIC SCHOOL
TAZARI-ZANZIBAR
Taarifa ya kufungua skuli:
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.
MZAZI/MLEZI, unaarifiwa kuwa skuli itafunguliwa kesho Jumamosi 04/01/2020 In shaa Allah. Hivyo unasisitizwa kukamilisha vifaa vya kusomea kwa ajili ya mtoto wako, vikiwemo; Ada ya mwaka, sare, mabuku8 likiwemo la vyumba, penseli na mengineyo
Kwa maelezo zaidi fika ofisini au wasiliana nasi kwa namba 0773661028
Whatsap 0773661028
Facebook search: Al-Ameen Islamic School
Email: [email protected]
P.O.BOX 2126 Zanzibar
Ahsante

01/01/2020

Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh

Address

Tazari
Zanzibar
2126ZANZIBAR

Opening Hours

Monday 06:00 - 18:00
Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 06:00 - 18:00
Saturday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 18:00

Telephone

+255773661028

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al-Ameen Islamic School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Al-Ameen Islamic School:

Shortcuts

Share

Category