ELIMU PANEL

ELIMU PANEL We provide applicable formal and informal education supports in order to create a community with skil

Road To University Zanzibar 2021Semina maalum kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma.31/07/2021 -...
11/08/2021

Road To University Zanzibar 2021

Semina maalum kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma.

31/07/2021 - Haile Selasie Hall

.official

Tunatoa shukrani za dhati kwa wale wote waliounga mkono Road To University 2021 kwa namna moja ama nyengine, ni mataraji...
01/08/2021

Tunatoa shukrani za dhati kwa wale wote waliounga mkono Road To University 2021 kwa namna moja ama nyengine, ni matarajio yetu elimu na ujuzi uliopatikana kwa vijana wanaoenda kujiunga na vyuo muda mfupi ujao yataleta athari chanya kwao na taifa kiujumla.

Mwenyezi Mungu atulipe kheri na atupe moyo zaidi wa kusaidia wengine.

Road To University 2021,
A Pathway for a lifetime achievements.

31/07/2021
Road To University Zanzibar 2021
31/07/2021

Road To University Zanzibar 2021

NI LEO 🌟ROAD TO UNIVERSITY - ZANZIBARTaasisi ya Elimu Panel na Pamoja Youth Initiative wameandaa Semina maalum kwa ajili...
31/07/2021

NI LEO 🌟

ROAD TO UNIVERSITY - ZANZIBAR

Taasisi ya Elimu Panel na Pamoja Youth Initiative wameandaa Semina maalum kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma.

31/07/2021

Road To University - 2021Unaweza mjulisha au kumkumbusha rafiki yako aliyemaliza form four, form six na diploma kuhudhur...
30/07/2021

Road To University - 2021

Unaweza mjulisha au kumkumbusha rafiki yako aliyemaliza form four, form six na diploma kuhudhuria mafunzo haya ya siku moja.

Mambo ya kuzingatia:
1. Kuchunga muda - tujitahidi kuwahi mapema sana ili tujifunze mengi zaidi ndani ya wakati.
2. Tuvae mavazi yaliyo katika stara nzuri.
3. Beba daftari/notebook na kalamu kwa ajili ya kujifunza.
4. K**a una maswali yanakusumbua sana yaandae uje kusaidiwa.
5. Kutokana na mlipuko wa maradhi ya Corona hakikisha umevaa barakoa/mask muda wote, epuka migusano k**a kushikana mikono, hakikisha una nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.

R2U Orginizers wataandaa mazingira rafiki kwa ajili ya kujilinda na ugonjwa huu. (Mwenyezi Mungu atulinde na atufanyie wepesi)

Tunawatakia maandalizi mema yenye baraka tele ndani.

Road To University,
Elimu Panel,
PYI 2021.

ROAD TO UNIVERSITY - ZANZIBARTaasisi ya Elimu Panel na Pamoja Youth Initiative wameandaa Semina maalum kwa ajili ya wana...
29/07/2021

ROAD TO UNIVERSITY - ZANZIBAR

Taasisi ya Elimu Panel na Pamoja Youth Initiative wameandaa Semina maalum kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma.

βœ”οΈ NI BURE
βœ”οΈ VINYWAJI NA VITAFUNWA BURE
βœ”οΈ NAFASI NI CHACHE

Tuma maombi SASA:

https://bit.ly/3rk4KCN

πŸ“… TAREHE:
Jumamosi, 31 Julai 2021 ( 02 Asubuhi - 07 Mchana)

πŸ“Œ MAHALA:
Ukumbi wa Shule ya Haile Salassie - Zanzibar

Kwa mawasiliano zaidi:
+255 773 902 190
+255 776 898 030

*USIPANGE KUKOSA*

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe. Dr. Saada S. Mkuya ataungana na wanafunzi waliomaliza kidato cha s...
28/07/2021

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe. Dr. Saada S. Mkuya ataungana na wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma katika semina ya siku moja yenye lengo la kuwaandaa wanafunzi hao kitaaluma na kimaadili.

Road to University mwaka huu inaenda kuwasaidia wanafunzi namna ya kuchagua kozi stahiki, namna ya kutuma maombi katika mamlaka husika na kujadili kwa pamoja maisha ya chuo na fursa zipatikanazo.

βœ”οΈ NI BURE
βœ”οΈ VINYWAJI NA VITAFUNWA BURE
βœ”οΈ NAFASI NI CHACHE

Tuma maombi SASA:

https://bit.ly/3rk4KCN

πŸ“… TAREHE:
Jumamosi, 31 Julai 2021 ( 02 Asubuhi - 07 Mchana)

πŸ“Œ MAHALA:
Ukumbi wa Shule ya Haile Salassie - Zanzibar

Kwa mawasiliano zaidi:
+255 773 902 190
+255 776 898 030

USIPANGE KUKOSA

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELIMU PANEL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to ELIMU PANEL:

Shortcuts

Share