New Vision Consortium Trainers

New Vision Consortium Trainers To carry on all or any Training organizer, to the Public works, Private works and University student

Tunawatakia waumini wote wa dini ya kiislamu Ramadhani njema
22/03/2023

Tunawatakia waumini wote wa dini ya kiislamu Ramadhani njema

Register Now
06/12/2021

Register Now

06/12/2021
Day 4: City Tour - 11 April 2021.
11/04/2021

Day 4: City Tour - 11 April 2021.

Day 4: Spice Tour - Kizimbani11 April 2021. Zanzibar International Tourism Forum.
11/04/2021

Day 4: Spice Tour - Kizimbani
11 April 2021. Zanzibar International Tourism Forum.

Mkurugenzi wa New Vision Consortium Trainers NVCT bi Pily Hamis Layda akizugumza katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa...
09/04/2021

Mkurugenzi wa New Vision Consortium Trainers NVCT bi Pily Hamis Layda akizugumza katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa utalii (Zanzibar International Tourism Forum 2021), katika Ukumbi wa Chuo Cha Utalii - Maruhubi Zanzibar.

NVCT tumeendelea kuisaidia jamii katika kujikinga na Ajali za Barabarani. Kwa Mara nyengine tena tutapitia skuli 5 za Ms...
20/09/2020

NVCT tumeendelea kuisaidia jamii katika kujikinga na Ajali za Barabarani.

Kwa Mara nyengine tena tutapitia skuli 5 za Msingi katika Mikoa mbali mbali ya Zanzibar ili kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa vitendo.

Pichani ni walimu wakipokea mafunzo maalumu ya Usalama Barabarani ili kuweza kuitoa taaluma hio kwa wanafunzi wa skuli zao, kuanzia tarehe 21 - 30 Septemba 2020.

"Mimi nakataa Ajali Wewe je?"

Imewezeshwa na

Confirmed
16/09/2020

Confirmed

Nvct training 2020
21/07/2020

Nvct training 2020

Washiriki wakiwa katika mafunzo ya siku mbili ya1) Customer care 2) Working ethics3) Entrepreneurship 4) Interview perfo...
19/07/2020

Washiriki wakiwa katika mafunzo ya siku mbili ya
1) Customer care
2) Working ethics
3) Entrepreneurship
4) Interview performance
katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.

Address

Stonetown
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Vision Consortium Trainers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category