lishe_bora360

lishe_bora360 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from lishe_bora360, Education, Zanzibar.

Kitunguu saumu ni kiungo ambacho tunakitumia sana mapishi yetu. Leo tunatoa faida chache tu ili tujue umuhimu wa kutumia...
04/03/2023

Kitunguu saumu ni kiungo ambacho tunakitumia sana mapishi yetu. Leo tunatoa faida chache tu ili tujue umuhimu wa kutumia kitunguu saumu:

Ini linatusaidia katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuondoa sumu mwilini. Mafuta yanapoganda kwenye ini husababish...
25/02/2023

Ini linatusaidia katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuondoa sumu mwilini. Mafuta yanapoganda kwenye ini husababisha kuvimba (inflammation), kuharibika na kufanya alama/kovu (scar) na hatimaye kushindwa kufanya kazi. Tunatakiwa kubadilisha mtindo wa maisha ili kuwa na ini lenye afya na furaha.

MAFUTA YA KULA YANAFAIDA NYINGI SANA MWILINI MWETU, MIONGONI MWAO NI HIZO HAPO JUU.N.B: MAFUTA YA KULA YAHITAJIKA KWA KI...
25/02/2023

MAFUTA YA KULA YANAFAIDA NYINGI SANA MWILINI MWETU, MIONGONI MWAO NI HIZO HAPO JUU.
N.B: MAFUTA YA KULA YAHITAJIKA KWA KIWANGO KIDOGO SANA MWILI KWANI YAKIZIDI HUSABABISHA MARADHI YASIO YA KUAMBUKIZA.

FAIDA ZA VITAMIN A
25/02/2023

FAIDA ZA VITAMIN A

05/12/2021
05/12/2021

Address

Zanzibar

Telephone

+255739915391

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when lishe_bora360 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category