Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu..nimerud Tena inshallah
Nilkuwa na mitihan ndugu zangu insha Allah Allah amenipa uzima Tena...tutaendelea na darsa letu...wiki ijayo inshallah
Hadith za mtume pamoja na usomaji wa qur'an
asal mbichi
tabora and singida
a.alaykam Kher
A. Alaykam kher Leo allah akijalia tutaendlea na maada yetu
what is teaching of islam about Pork?
2.RIFADA.alikuwa kaz yke kuwatengenezea chakula cha bure Mahujaj waliokuwa hawajiwez kujilixha kwa gharama zao.Ulichukua ukoo mahusus gharama za vyakula hv ingawa kila mtu aliyetka alikuwa anayo ruhusa kusaidia ukoo huo,ktk baadh ya gharama .
3.HIJABA.Kushka funguo za Al Kaaba na kuwa na amri ya kuwafungulia wanaowatka na kuzuilia kuingia wasiowapenda. hii ukikuwa ktk mikono ya ukoo makhususi.
4.LIWAA.Kuwa na ukubwa wa majexh ya vita wakat vnapokukuwa vita,na kuwa mkubwa wa misafar ya biashara.
5.NAD-WA.Kuwa na uraisi wakat wanapokusanyka Makuresh kwnye nyumba yao ya makutano iliyokuwa ikiitwa wa. Na mengi yasiyokuwa hya ambyo si lazima tuyataje hapa.
Abd Munaf,yeye ndye wa ukoo-tatu ktk hzo koo nne tukufu za Kikureshi.
1.Bani Hashim bin Abd Munaf.
2.Bani Umayya bin Abd Shams bin Abd Munaf.
3.Bani Naufal bin Abd Munaf.
Bwana Hashim ameitwa hvyo(bada ya kuwa akiitwa Amir)kwa ajili ya ukarim wake mkubwa aliokuwa akifnya wakat ilipoingia njaa ktk nch ya HIJAZ,.itaendelea inshaallah
A.alaykum waraham tullah wabarakatuh
2naendlea na sira ya nabii wet muhammad(s.a.w)
Makuresh walikuwa na matukufu yao 12 ambyo walikuwa wakiitakidi kwamba kila wenye mawil ni bora zaid kuliko weny moja,na ukoo;wenye meng zaid ndio bora kabixa.. yenyewe ni hya na mengneyo,na yote alyazuia Bwana Qusay na akawarithisha wanawe..
1.SIQAYA;Kuwatengenezea maj ya kuwatoxha wat wanaokuja kuhij,Makka ilikuwa ina tabu kubwa ya maj. mto wala maziwa.Maji yakipatkana visiman tu.Na visma vyenyew vil4kuwa mbl mbl,wala havina maji meng.Basi waliluwa wanapta tbu kubwa mahujaji wakat walipokuwa wanakuja Makka.Bwana Qusay akaona ni shaur nzur kutengeneza mahodhi ya ngoy ya kutia maji kuwaekea tayar hao Mahujaji wanapokuja kuhji. mahusush bdaye ulichukua kufanya kazi hii uka dhamini kutoa gharama zote za kuleta maji hyo na kuyatia zabibu na lozi kufnya k**a shurubati..inaendlea inshaallah
wanavyuon wet wa mwisho".Na kwenye miaka hii hii ya mia mia tu.Hatutayawacha yaliyosemwa na hao wa mwanzo tuwashike hawa Lakin wasikie wanavyuon wet wakubwa kabsa na wa mwanyo kabsa waliokufa kiasi miaka elf leo.Kama Abu Is-haqa Shirazy ktk sahifa 69 ya juzuu ya mwanzo ya Muhadhdhab.ameandka.
ktk wat wet watu waliosema kuwa anuie moyoni na atamke kwa ulim.na haya ni mameno ya upuuz"na akasema hv Imam Ghazaly ktk sahifa 24 ya juzuu ya kwanza ya Alwajyz..
hata baadh ya Ulamaa wet wa 9ama za nyuma k**a Ibn Hajar Al Asqalany ktk sahifa 55 ya juzuu ya mwanzo ya talkhuysul Habyr,ameandka..
haisuniwi kutamka niya kwan haikupokewa kwa Mtume(s.a.w.w) wala Masahaba wala Maimam wanne(4)"Na akasema k**a haya Assaqqaf ktk sahifa 54 ya Tarshyhul Mustafydn Sheqhe ya Fat-hulmuin'"
KUMTAKA NAWYTU.
UDHU
Maadam akil yko hadhir huwez kufanya jmbo lolote bila ya kuazimia jambo hlo,(kulitilia niya).Akatakiwa kila Mwislamu akifanya jambo awe hadhir.Awe kalikusudia jmbo hlo.sio kufanya bla ya kutambua anafnya nin;il alipwe na M/mungu kwa hyo azma yke analolifanyia il alipwe na kwania hyo.Ndyo maana Mtume akasema..
#"Amali zote zinalipwa kwa nia ul4yoitilia"
Lakin kabisa hakuwa Mtume akitamka akisema
#"Nawaytu....",si ktk kutawadha wala kusal wala kutoa zaka wala kufunga wala kuhiji wala......
vitabu vya Hadith vimejaa tele,naatafute humo mt k**a ataona.Na maadam hataona basi hapana jambo hili
Bas kwa nn twafanya asilolifanya Mtume? Ataona mote humo kuwa Mtume akianza Sala kwa "Allahu Akhar"si "Nawaytu usally...."Na akianza hija kwa...."
Labbayka bi Haj" si Nawaytul Hajja...."
Na vitabu vyote taqriba vinaandka "Nia ni moyon (SI KUTAMKA)"
Khalafu weng huongeza "Inapendeza kuitamka hyo nia" Hawathubv kusema "Imesuniwa" kwan mtume hakusunisha haya.Waliyethubutu kusema hv ni...!!
a.alaykum islam..
MAISHA YA NABII MUHAMMAD(S.A.W.W)
innah alhamdul'llaah leo tutaanza na maisha ya mtume(s.a.w) mwanzo wake na mwisho wake
insha'allaah nilichoja'aliwa nimeona niwafkishie ndgu zangu..
NASABA YA NABII MUHAMMAD..
Mtume wetu Muhammad ni Mwarabu,katka kabila ya Kikuereshi-kabila bora kuliko kabila zote za kiarabu-na katka ukoo wa Bani Hashim; ukoo wa wa kwanza ktk koo 4 zilzo tukufu sana kwa Makureshi; wa pil ni Bani Ummayya.
Waarabu wote walikuwa wakiwahishim Makureshi:kwa sababu Al Kaaba yao ilikuwa ktk mji wao na ktk mikono yao.Haramia wote wa Kiarabu hawakuwa wakijasiri kupokonya kitu ktk misafara ya Kikureshi,wala mji wao wa Makka haukupata kushambuliwa,la safar moja mbil tu;na Waarabu wote walichukizwa na kabila hiyo iliyovunja utukufu wa nchi ya Makka..
Makuresh walikuwa wanagawika matumbo meng yanayotafautika ktk utukufu wao..
A.WAZEE WAKE WANAUME
Mtume wet(Rehema za Mungu ziwe juu yke)ni Muhammad bin Abdillah bin Abdil Muttalib bin Hashim bin Abd Manaf bin Qusay..inaendlea insha'allaah
a.alaykum muslim
leo ni cku njema
ni cku tukufu
bas 2muombe allaah atuwezeshe kumalza kaz zet mapema na swalama..ili kuhai umuljuma'a..
insha'-allaah
اسلم عالايكم #
ndugu zangu ktk iman..
inatupasa tumshukur allaah(Subhaanahu wa Ta 'ala) kwa ku2pa Umri tukiwa ktka Uislam na Iymaan hadi kutufikisha tena kukaribia Mwez Mtukufu wa RAMADHAN .
Na hii ni fursa nyingne Anayotupa الله تعلا.ktka maisha yetu kuhushuhudia mwez huu na kupata fadhila zake..
amesema (الله تعلا)
Enyi mlia amin! Mmefaradhishiwa Swaum.k**a waliofaradhishiwa walio kuwa kabla yenu ili 2pate kumcha (Allaah
)
mfunge)siku maalum za kuhisabika..=al Baqrah 183-184
IJUMAA KAREEM
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Almuhomy45@gmail. Com
Zanzibar City