21/04/2026
Class 7 - 2026
The Crescent Investment (z) Co. Ltd - is a non government company established in 2013. the company's headquarter is located in Zanzibar.
21/04/2026
Class 7 - 2026
Celebrating my 12th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
19/11/2025
Assalam Alykum
Karibuni sana;
Sisi ni wanafunzi wa skuli ya Crescent Academy, katika kipindi hiki, uongozi wa skuli yetu umefungua rasmi pazia la uandikishaji na usajili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2026 kwa ngazi za Nursery, Primary na Secondary - Day na boarding.
Anuani - Tupo Mwera Mtendeni (Zanzibar) nyuma ya Kituo cha polisi na Mahak**a ya Mwera.
Mawasiliano - 0776 500 916
Ahsanteni.
28/08/2021
Enjoying trip.
Skuli za Crescent Academy zinatarajiwa kufunguliwa Jumatatu ya tarehe 18/01/21
MUHUTASARI WA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA KWA SKULI ZA CRESCENT ACADEMY 2020
The Cresent Academy "A" - CHUMBUNI CAMPUS mjini Unguja
- Wameshiriki katika mtihani wa taifa wa STD IV 2019
UFAULI
- Watahaniwa wote wamepasi vizuri
- Kiwilaya (wilaya ya Mjini) - nafasi ya 2 katika shule 21
- Kimkoa (mjini magharibi) - nafasi ya 15 katika shule 90
- Kitaifa (zanzibar) - nafasi ya 17 katika shule 141 zenye wastani wa watahaniwa chini ya 45.
The Crescent Academy "B" - Mwera Campus - Magharibi A Unguja.
- wameshiriki katika mitihani ya Taifa ya STD IV na STD VI 2019
UFAULU KWA STD VI (darasa la sita)
- Watahaniwa wote wamefaulu vizuri
- Kiwilaya (wilaya ya Magharibi A Unguja) - nafasi ya 2 katika shule 18
- Kimkoa (mjini magharibi) - nafasi ya 17 katika shule 70
- Kitaifa (zanzibar) - nafasi ya 19 katika shule 153 zenye wastani wa watahaniwa chini ya 45.
UFAULU KWA STD IV (darasa la nne)
- Watahaniwa wote wamefaulu vizuri
- Kiwilaya (wilaya ya Magharibi A Unguja) - nafasi ya 9 katika shule 26.
- Kimkoa (mjini magharibi) - nafasi ya 33 katika shule 90
- Kitaifa (zanzibar) - nafasi ya 40 katika shule 141 zenye wastani wa watahaniwa chini ya 45.
TUNAENDELEA KUPONGEZA JUHUDI KUBWA ZA WALIMU WETU NA MASHIRIKIANO MAZURI YA WAZAZI WA WANAFUNZI.
22/08/2019
Miaka mitano nyuma ilipigwa picha hii. Hawa ni wanafunzi wetu ambao walikuwa katika mazoezi maalumu. Leo hii baadhi yao wapo Form I wengine STD 6.
Assalam Alykum
Uongozi wa skuli za Crescent Academy kwa kushirikiana na uongozi wa Crescent Madrasah unawaalika katika hafla maalum ya mashindano ya kuhifadhi Quran na maadhimisho ya siku ya madrasa "Madrasa Day" inayotarajiwa kufanyika Jumamosi hii ya tarehe 25 May 2019 sawa na mwezi 19 Ramadhan saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa JUDO Amani Zanzibar. Tunawakaribisha sana.
Matoeo ya mtihani wa taifa wa darasa la sita 2018 Zanzibar yametangazwa rasmi. Shule yetu nayo ilikuwa moja ya shule zilizoshiriki katika mtihani huo.
Dondoo za matokeo kwa skuli ya Ctescent Academy ni k**a ifuatavyo;
* Watahaniwa walikuwa 17 tu
* Waliofaulu ni 17 (100% passed)
* Kiwilaya (Magharibi A) ni skuli ya 3/15 kwa ufaulu mzuri.
* Kimkoa (Mjini Maghribi) ni skuli ya 13/68
* Kitaifa (Zanzibar) tumeshika nafasi ya 18 katika shule 127.
Tunawashukuru walimu, wazazi na wanafunzi kwa kazi nzuri sana waliyoifanya.
Allah atupe wepesi zaidi.
03/01/2019
3 days left, opening date is 07/1/19. Welcome all