Sky View School Taveta

Sky View School Taveta Tupo Taveta njia ya Fuoni - Zanzibar

Mvua iliyonyesha maeneo ya Taveta yameathiri mazingira ya skuli na wapita njia, hivyo msaada unahitajika kuweka mazingir...
02/12/2021

Mvua iliyonyesha maeneo ya Taveta yameathiri mazingira ya skuli na wapita njia, hivyo msaada unahitajika kuweka mazingira safi katika mtaa wetu ili kuwawezesha wanafunzi na watoto wengine wa mtaani kupita na kucheza kwa amani katika mtaa wa eneo la skuli ya Sky View

25/11/2021

You can get us at Taveta Zanzibar

Wanafunzi wa skuli ya Sky View wakifanya mitihani ya muhula wa pili kwa ajili ya maandalizi ya kumaliza mwaka wa masomo ...
25/11/2021

Wanafunzi wa skuli ya Sky View wakifanya mitihani ya muhula wa pili kwa ajili ya maandalizi ya kumaliza mwaka wa masomo 2021 na kujiandaa kwa mwaka mpya wa masomo 2022 hapo mwakani Allwa atufikishe salama

Hapa kazi na kuwajibika katika Skuli ya Sky View
22/11/2021

Hapa kazi na kuwajibika katika Skuli ya Sky View

22/11/2021
Mafundi wakiendelea na kazi ya kupiga palasta katika madarasa ya Sky View ili kuweka mazingira safi kwenye madarasa, tun...
22/11/2021

Mafundi wakiendelea na kazi ya kupiga palasta katika madarasa ya Sky View ili kuweka mazingira safi kwenye madarasa, tunaomba msaada wa hali na Mali kufanikisha hili

Fundi akiendelea na ujenzi wa kupiga palasta kwenye darasa ili kuweka mazingira mazuri ya kwenye darasa katika skuli ya ...
21/11/2021

Fundi akiendelea na ujenzi wa kupiga palasta kwenye darasa ili kuweka mazingira mazuri ya kwenye darasa katika skuli ya Sky View

Bado tunaendelea kukusanya vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kupiga palasta madarasani ili kuweka mazingira mazuri kwa ajili...
21/11/2021

Bado tunaendelea kukusanya vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kupiga palasta madarasani ili kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya mwakani 2022

Tumeanza ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi kwaajili ya Skuli yetu, tunayafanya Haya ili  kila mmoja spate fursa ya kupata e...
21/11/2021

Tumeanza ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi kwaajili ya Skuli yetu, tunayafanya Haya ili kila mmoja spate fursa ya kupata elimu, tatizo liliyopo hivi sasa bado hatujamaliza ujenzi wa madarasa mengine ila nguvu kubwa tunatumia kuhakikisha tunafanikiwa katika hili.

Baadhi ya wazazi wakiwaleta watoto wao kwa kutumia usafiri wa bodaboda na hii ni kuonesha mapenzi na Skuli ili kuhakikis...
17/06/2021

Baadhi ya wazazi wakiwaleta watoto wao kwa kutumia usafiri wa bodaboda na hii ni kuonesha mapenzi na Skuli ili kuhakikisha wanafunzi wanawahi kufika Skuli kwa wakati

Wanafunzi wa Sky View wakiingia skuli wakati wa asubuhi kujiandaa na masomo ya siku ya Alhamis ya tarehe 17/06/2021 waki...
17/06/2021

Wanafunzi wa Sky View wakiingia skuli wakati wa asubuhi kujiandaa na masomo ya siku ya Alhamis ya tarehe 17/06/2021 wakitokea majimbani kwao asubuhi ya leo

Uongozi wa Skuli ya Sky View iliyopo Taveta Unguja, wakiwa MAKINI kusikiliza darasa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijam...
16/06/2021

Uongozi wa Skuli ya Sky View iliyopo Taveta Unguja, wakiwa MAKINI kusikiliza darasa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii ili kufikia maendeleo

Address

Taveta Zanzibar
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sky View School Taveta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category