Zanzibar School of Health

Zanzibar School of Health

Share

Zanzibar School of Health (ZSH) is an accredited private health training Institutions established in 2011. ZSH is registered by NACTVET as REG/HAS/123.

30/05/2026

Dirisha la Udahili liko wazi, karibu ujiunge na kozi za afya na zenye fursa ya mkopo wa masomo.

30/05/2026

Zanzibar School of Health, tupo Magomeni Jitini katika Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Maendeleo ya Jamii, Magomeni (M3) iliyoandaliwa na Al-Mahfoudh Foundation, kutoa huduma ya afya ikiwemo;
1. Kupima uzito
2. Kupima macho
3. Kupima sukari
4. Kupima presha
5. Kutoa elimu ya afya na
6. Kufanya udahili wa chuo

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

30/05/2026

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

29/05/2026

Kozi zote zina fursa ya mkopo wa masomo.

Jiunge,
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

.zsh.ac.tz

29/05/2026

Zanzibar School of Health inawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na cha sita kujiunga na kozi za Diploma na VTA/VETA 2026/2027

.zsh.ac.tz

26/05/2026

Zanzibar School of Health, inawatakia waislam wote kheri ya Eid El-adha.

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

.zsh.ac.tz


25/05/2026

Ndugu Nurdin Machaku, Afisa Masoko Msaidizi kutoka chuo cha Zanzibar School of Health, akipokea cheti cha shukrani kwa niaba ya Mkurugenzi wa chuo cha Zanzibar School of Health, ambao walikuwa wadhamini wa mashindano ya Muungano Cup 2026.

Hafla hiyo ya tukio maalum, pongezi na shukran ilifanyika katika ukumbi wa New Amaan Hotel, Zanzibar.

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!



.zsh.ac.tz

24/05/2026

Matokeo ya mechi zilizochezwa leo katika viwanja tofauti ambapo timu ya CMT-2 imeibuka kifua mbele kwa kuiadhibu timu ya CPT bao 2-1, huku timu ya wafanyakazi Staff FC imeendelea kutamba kwa kuiadhibu timu ya IHV bao 7-0, mabao ambayo yalipachikwa nyavuni na Abdulsalami Bakar, Fahmi Sultan, Kamal na Reuben Stephano.

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

.zsh.ac.tz


Photos from Zanzibar School of Health's post 23/05/2026

Timu ya wataalamu wa huduma ya kwanza kutoka chuo cha Zanzibar School of Health ( ZSH FIRST AID TEAM) wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mashindano ya mbio za One Run Marathon yaliyofanyika Forodhan, Zanzibar.

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

.zsh.ac.tz

22/05/2026

PO FC waendeleza ubabe kwenye Mashindano ya ZSH Interclass Tournament baada ya kuiadhibu timu ya CMT-1, huku Madaktari CMT-2 wakiwapa dawa wafamasia PST-1

Jiunge na:
Zanzibar School of Health,
Chuo Bora cha Afya!

.zsh.ac.tz


Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar City?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Kwa Mchina
Zanzibar City

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30
Saturday 08:30 - 12:00