07/11/2021
Tunapenda kuwatangazia watuwote kuwa mwezi wa 12/2021, Tutatoa mafunzo yafuatayo:
✓ kuandikisha wanafunzi wapya wa chekechea
✓pre-form1watajifunza kiingereza na msingi wa hesabu
✓masomo ya ziada kwa shule ya msingi kipaumbele hesabu na kiingereza
✓stadi za maisha /ujasilia Mali
✓pre-form4 kwa masomo ya ÷
~physics
~chemistry
~biology
~mathematics
Tunapatikana Mkoani SONGWE mji wa Vwawa mtaa wa manzese
Pia ajira zinapatikana kwa walimu wabobezi share mara nyingi ili upate ajira.
Njoo tujiajiri
Mawasiliano tumia no:0759907324/0623488914
Science [email protected]