Ndorwe Secondary school

Ndorwe Secondary school Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ndorwe Secondary school, School, Usangi.

28/09/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Ramadhani Msuya, Mariam Kaingwa, Selemani Mmary, Rajabu Mbwuso, Bravo Last Born, Asha Abdallah, Ibrah Mxuya, Khadija Mshana, Zuuh Immam, Ari Sebahi, Zeyner Issa, Shani Swila

Kilaaa la khery kijanaaa wetuuu
30/06/2025

Kilaaa la khery kijanaaa wetuuu

Habari Wadau Wa ElimuMsipiteee bilaaa kushare Picha hiiiii.Sisi tunakupa Baraka Zote Kijana wetu Mwenye uthubutuHongera ...
30/06/2025

Habari Wadau Wa Elimu
Msipiteee bilaaa kushare Picha hiiiii.
Sisi tunakupa Baraka Zote Kijana wetu Mwenye uthubutu
Hongera Sanaa kwa hatuaaa hiiii
Tuko nyumaaa yakooooo Hajraaa

03/04/2025

Mmeamkajeee Wapendwaaa
Nawasalimu Kwa jina la Muungano

R.I.P-SALMA BADIRUPUMZIKA KWA AMANI MPENDWA WETU TULIKUPENDA ZAIDI ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI .Nenda Salama Salma umeenda...
12/10/2023

R.I.P-SALMA BADIRU
PUMZIKA KWA AMANI MPENDWA WETU TULIKUPENDA ZAIDI ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI .
Nenda Salama Salma umeenda lakini bado tutazidi kukukumbuka .
Huyu Ni Mwanafunzi Aliyesoma Ndorwe Secondary School Mwaka 2010 Hadi 2013 ,alimaliza mwaka 2013 Pamoja na Kina~
-HANCE MLAMBO
-BAKARI ABDI-{A.K.A-Mkemia}
-HABIBU MTENGETI
-NAVONEIWA JONAS
Na wengine wengiiiii
R.I.P-{SALMA BADIRU-We still missing you}ฯ€

11/07/2023

At Ndorwe Secondary School we Believe that teachers play an essential role in the development of Young People โœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Our school
28/04/2023

Our school

09/01/2023

Kesho Shule Zinafunguliwa Hakikisha kila Mzazi /Mlezi anatimiza Jukumu lakumleta mtoto shule Nakukamilisha Vifaaa Vyote Na mahitaji Muhimu Kwa mtoto yahusuyo shule

31/10/2022

All the Best form two students! Our Vision at Ndorwe sec school is for young People to Achieve Academic success While Developing the mindset, Habits,and Skills they need to Achieve Sustainable, purposeful Lives!โœ๏ธ

24/10/2022

Ndorwe sec school is a school in Tanzania.
This school started to operate.
Since 15/April/2005 .The school is Owned by Government
Ndorwe sec school is registered to provide Educational services inTanzania.๐Ÿ™๐ŸŒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mh.Elieskia Mchomvu โœ๏ธHuyu alikuwa Diwani wa kata Ya chomvu amekaa madarakani takribani miaka 20 Tunamsifu kwa Juhudi al...
21/10/2022

Mh.Elieskia Mchomvu โœ๏ธ
Huyu alikuwa Diwani wa kata Ya chomvu amekaa madarakani takribani miaka 20 Tunamsifu kwa Juhudi alizozifanya Hadi Kusimama mpaka Shule ya Ndorwe ikapata Kusimama Ni shukran zetu Nyingiii kwako Kwani ulipambania Miradi mbalimbali ya kimaendeleo Na kuifanya kata ya chomvu Kuwa Na Shule ya secondary .
Tunakupenda Sana
Mh.Diwani mstaafu ๐Ÿ˜๐ŸŒผ
Pia ulikuwa imesimama K**a mwalimu Wa mda pale tuu Shule yetu ilipoanza masomo Rasmi 2005.
Kwani ilikuwa Haina Walimu Bali ulisimama na Kufundisha Kwa nguvu moja.
Tunakupenda Sana Mh.Elieskia Mchomvu โœ๏ธ๐Ÿ˜
Wewe Ni Baba wa Taifa

HelloHabari yenu wapendwa kwanza tumshukuru mungu kutupa Afyaa imaraaaNdugu wapendwa kwanza tunapenda kuwa takia heri ya...
03/04/2021

Hello
Habari yenu wapendwa kwanza tumshukuru mungu kutupa Afyaa imaraaa
Ndugu wapendwa kwanza tunapenda kuwa takia heri ya Pasaka โค๏ธ

Address

Usangi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndorwe Secondary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share