Inno Agro Sol

Inno Agro Sol Kituo chetu kinatoa ushauri na ujuzi kwa wahitimu wote kuanzia darasa la saba na kuendelea kwenye fani za ufundi magari, uchomeleaji, ushonaji, umeme,nk.

26/08/2026

Karibuni tunafanya hizi Ngoma

30/06/2026

Tunatoa huduma za kufunga machine kufugia kuku kutoka kampuni yoyote

19/09/2025

Karibuni sana na Ada ni Nafuu. Ufundishaji Bora sana. Umeme wa magari ndiyo kabisaaa. Msipitwe na Fursa hii. K**a si wewe basi ndugu yako ama rafiki yako. Chuo kinapokea pia wanafunzi wanaofadhiliwa na mashirika ya kijamii NGOs kutoka popote ndani na nje ya Nchi yetu. Karibuni sana.

Kwa ujenzi wa nyumba za kuku nk za chuma. Steel structures tupigie.
04/09/2025

Kwa ujenzi wa nyumba za kuku nk za chuma. Steel structures tupigie.

Baçk again
04/09/2025

Baçk again

15/02/2023

KAGERA, TANGA NA ZANZIBAR MPOOO!
Piga simu tuwasiliane.
CALL +255 764 249 176
F0R
RESEARCH PROPOSAL WRITING......150,000/=
RESEARCH PAPER (DISSERTATION) 250,000/=
BUSINESS PLAN WRITING .......200,000/=
PROJECT PROPOSAL.................200,000/=
BLOG DESIGNING..........................50,000/=
BLOG MODIFICATION...................30,000/=
LOGO DESIGNING.........................25,000/=
COMPANY PROFILE ...................100,000/=
ORGANIZATION PROFILE...........100,000/=
BANNERS & POSTER Dsgn NEGOTIABLE
FINAL A/C PREPARATION.........250,000/=
FINAL A/C ON EXCEL ................100,000/=
BUSINESS IDEA ..........................50,000/=
DOMAIN NAME REGISTRATION. 50,000/=
WEBSITE DESIGNING............NEGOTIABLE
WEBSITE HOSTING ..............NEGOTIABLE
Ahsanteni na karibu wote

Tumekuja na jambo JIPYAAA!Kwa mahitaji yako ya kufungua Shamba la Kuku ama kupata vifaa vya kulishia kuku.Njooo hewani.K...
10/10/2022

Tumekuja na jambo JIPYAAA!
Kwa mahitaji yako ya kufungua Shamba la Kuku ama kupata vifaa vya kulishia kuku.Njooo hewani.
Kwa wale wanaohitaji huduma ya kufungiwa mashine za kukushia kuku za kisasa tupooo.
Kwa ufungaji wa vifaa vya kutotoleshea vifaranga kubwa (Hatchery) Tupooo.

10/10/2022

Wanachuo wote wa VETA ualimu na vyuo vikuu bei imashuka piga simu tuwasiliane.
CALL +255 764 249 176
F0R
RESEARCH PROPOSAL WRITING......150,000/=
RESEARCH PAPER (DISSERTATION) 250,000/=
BUSINESS PLAN WRITING .......200,000/=
PROJECT PROPOSAL.................200,000/=
BLOG DESIGNING..........................50,000/=
BLOG MODIFICATION...................30,000/=
LOGO DESIGNING.........................25,000/=
COMPANY PROFILE ...................100,000/=
ORGANIZATION PROFILE...........100,000/=
BANNERS & POSTER Dsgn NEGOTIABLE
FINAL A/C PREPARATION.........250,000/=
FINAL A/C ON EXCEL ................100,000/=
BUSINESS IDEA ..........................50,000/=
DOMAIN NAME REGISTRATION. 50,000/=
WEBSITE DESIGNING............NEGOTIABLE
WEBSITE HOSTING ..............NEGOTIABLE
Ahsanteni na karibu wote

03/06/2021

SASASA TUMEFIKA
Wananchi wa Mbeya, Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Mtwara, Lindi, Songea na Manyara.
Tumeanza kuwahudumia kwa njia ya WhatsApp
Tumia namba hii kwa mawasiliano.
CALL +255 764 249 176
Kazi tunazofanya na gharama.
PROJECT PROPOSAL ........................250,000/=
CONCEPT PAPER ................................100,000/=
RESEARCH PROPOSAL WRITING.......50,000/=
RESEARCH PAPER (DISSERTATION) 150,000/=
BUSINESS PLAN WRITING .......100,000/=
PROJECT PROPOSAL.................100,000/=
BLOG DESIGNING..........................50,000/=
BLOG MODIFICATION...................30,000/=
LOGO DESIGNING.........................15,000/=
COMPANY PROFILE .....................50,000/=
ORGANIZATION PROFILE...........100,000/=
BANNERS & POSTER Dsgn NEGOTIABLE
FINAL A/C PREPARATION.........250,000/=
FINAL A/C ON EXCEL ................100,000/=
BUSINESS IDEA ..........................50,000/=
DOMAIN NAME REGISTRATION. 50,000/=
WEBSITE DESIGNING............NEGOTIABLE
KUTAFUTA WAFANYAKAZI....NEGOTIABLE

Unit Cost for Training Institutions (Tutakufanyia hesabu za kitafiti kujua mwanafunzi/Mwanachuo wako atatumia kiasi gani cha gharama kuishi na kusoma katika kituo../Shule/Chuo chako....Bei Makubaliano.
Ahsanteni na karibu wote

20/02/2021

Na Malisa GJ
Kutoa ni Moyo hata jero eti ehh.
Fikiria haya ni makazi ya binadamu, mama mwenye watoto wanne na anamlea mmoja wa ndugu yake. Najua wapo watanzania wengi wanaoishi kwenye ufukara k**a Penina, na hatutaweza kuwafikia wote. Lakini kwa leo tujaribu kugusa maisha ya Penina, ambaye ametuomba msaada na kusubiri kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Tumsaidie ajikwamue kwenye hali aliyopo. Tumtoe kwenye banda hili analoishi na wanae, tukamilishe nyumba ambayo tayari tumeanza kumjengea. Tuwasaidie wanae wapate uhakika wa elimu na malazi bora, na mama yao apate biashara ya kumuwezesha kujikimu.

Challenge yetu ni ya siku 3, kuanzia leo hadi jumanne. Tayari tumefikisha 501,000/= sawa na 7% ya malengo ya kukusanya angalau 8M kumalizia kazi hii.

Endelea kutuma mchango wako kwenda (M-Pesa) 0743339247, au (Tigopesa) 0714639248 Gwakisa Mwakitega, au (AirtelMoney) 0783514607 Even Nassary. Ubarikiwe.!

Address

670
Usa River

Telephone

+255752337838

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inno Agro Sol posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Inno Agro Sol:

Shortcuts

Share

Category