Noble Trust College

Noble Trust College Noble ni Chuo Kilichosajiliwa na NACTE kwa Usajili Na REG/BTP/205 na VETA kwa Usajili VET/ARS/PR/201

Wataalamu wetu wa Saikolojia na ualimu watakua na kipindi pale  kuwezesha Mada hii yenye kusisimua. Baada ya hapo utaach...
17/04/2026

Wataalamu wetu wa Saikolojia na ualimu watakua na kipindi pale kuwezesha Mada hii yenye kusisimua. Baada ya hapo utaacha kuhumu mtoto wako, utamwelewa na utamsaidia awe mtu bora.

11/04/2026

“Alikuwa na ndoto… lakini hakujua aanzie wapi.
Leo, ana nafasi. Ana ujuzi. Ana mwanzo.
Hii ndiyo Fursa Impact.”

10/04/2026

Wanafunzi wa Noble College kozi ya utalii wakionesha sanaa na utamaduni siku ya Noble Trust College Career Day

Ninaitwa Pendo natokea Morogoro ninasoma Animal Husbandry. Ndoto zangu ni kua mfanyabiashara wa mazo ya mifugo.
09/04/2026

Ninaitwa Pendo natokea Morogoro ninasoma Animal Husbandry. Ndoto zangu ni kua mfanyabiashara wa mazo ya mifugo.

09/04/2026

Learning Hotel Management at Noble Trust College is a whole bunch of exciting experience.

02/04/2026

Je, umewahi kusikia waajiri wakilalamika kwamba mwanafinzi amefaulu vizuri darasani lakini hana umahiri au uwezo wa kutenda katika kazi? Mfumo wetu wa kufindisha umeleta majibu chanya na shuhuda nzuri za waajiri. K**a wewe ni mwajiri tuambie kuna changamoto gani nyingine za wahitimu, na k**a wewe ni mhitimu tuambie changamoto ulizokutana nazo ama kusikia kuhusu mfumo wetu wa elimu!

31/03/2026

Makamu Mkuu wa Chuo Utawala anawakaribisha wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne na Sita wenye sifa za kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa katika Chuo cha Noble Arusha

We are looking for talents to join our team. Kindly send you letter of interest and cv to info@noblecollege.ac.tz. Do no...
24/03/2026

We are looking for talents to join our team. Kindly send you letter of interest and cv to [email protected]. Do not send your certificates

17/11/2025

K**a una ndoto ya kufanya kazi k**a mwongoza watalii, sisi ndio wataalam wa haya mambo. Unapaswa kujua walau lugha moja ya kigeni vizuri kabisa, kupata elimu ya kutosha kabisa kuhusu wanyama, ndege, wadudu na mimea, unapaswa kubobea kwenye tasnia ya ukarimu lakini muhimu sana uwe dereva mahiri na uwe na leseni daraja la C. Endelea kutufuatilia kupitia projects zetu za utalii

15/11/2025

"Celebrating creativity, culture and confidence.
Our students graced the Noble Trust College 12th Graduation Ceremony runway with inspiring designs—from vazi la Kimasai, vazi la ukweni, vazi la ufukweni and more other —showcasing the beauty of Tanzanian fashion and youthful talent."

Address

USA River
Usa River
SAKINA

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30
Saturday 10:00 - 14:00

Telephone

+255768900500

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Noble Trust College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Noble Trust College:

Shortcuts

Share