Kijiwe Mtandao

Call Directions

Kijiwe Mtandao Kijiwe Mtandao | Michezo, Burudani, Udaku & LifeStyle. Taarifa za matukio, habari na updates kwa wakati. ๐Ÿ“ก๐Ÿ”ฅ

Hili tukio la huyu binti ninanisumbua sana kwenye akili yangu nashindwa hata kuelewa roho zao ni za aina gani ๐Ÿ˜ž
10/03/2026

Hili tukio la huyu binti ninanisumbua sana kwenye akili yangu nashindwa hata kuelewa roho zao ni za aina gani ๐Ÿ˜ž

University of Dodoma๐Ÿซ, ni moja ya vyuo vikuu vinavyotoa elimu yenye kiwango cha kimataifa.
10/03/2026

University of Dodoma๐Ÿซ, ni moja ya vyuo vikuu vinavyotoa elimu yenye kiwango cha kimataifa.

10/03/2026

Hii combination Rais Donald Trump, Benjamin Netnyah & Elon Musk naikubali sana hasa hizi speeches za Donald J Trump zimekaa kimkakati sana.

Credits ๐ŸŽฅ: Chief Odemba

HAWA WASANII WA SIKU HIZI NASHINDWA KUWAELEWA KABISA ๐Ÿค”.Hivi haya maonyesho ya aina hii BASATA hawayaoni kweli? Au ndio f...
10/03/2026

HAWA WASANII WA SIKU HIZI NASHINDWA KUWAELEWA KABISA ๐Ÿค”.

Hivi haya maonyesho ya aina hii BASATA hawayaoni kweli? Au ndio funika kombe mwanaharamu apite ๐Ÿ˜‚.

๐Ÿ”ดโšช๏ธ SIMBA SC ๐Ÿ†š SEKHUKHUNE UNITED ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆSimba SC leo, Jumamosi Oktoba 3, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani nchini Afrika Kusi...
10/03/2026

๐Ÿ”ดโšช๏ธ SIMBA SC ๐Ÿ†š SEKHUKHUNE UNITED ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
Simba SC leo, Jumamosi Oktoba 3, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani nchini Afrika Kusini kucheza mchezo wa pili wa kirafiki dhidi ya Sekhukhune United jijini Johannesburg.

๐Ÿ“… Oktoba 3, 2026
๐Ÿ“ Johannesburg, Afrika Kusini
โšฝ Mchezo wa Kirafiki
Mchezo huu ni sehemu ya maandalizi ya Simba kuelekea ratiba muhimu ya Oktoba, ikiwemo Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, Oktoba 10.

๐Ÿ”ฅ Mchezo wa maandalizi, lakini macho yote yako kwenye Oktoba 10!

๐ŸšจWAZIRI GWAJIMA ATOA UJUMBE MZITO BAADA YA KIFO CHA JENIPHER URASSA ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI.
10/03/2026

๐ŸšจWAZIRI GWAJIMA ATOA UJUMBE MZITO BAADA YA KIFO CHA JENIPHER URASSA ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI.

Dunia sio salama tena ๐Ÿ˜žKwahaya yanayoendelea ni hatari sana...Sasa mapenzi ndio chanzo cha kubadilishana majengo ya seri...
10/03/2026

Dunia sio salama tena ๐Ÿ˜ž

Kwahaya yanayoendelea ni hatari sana...
Sasa mapenzi ndio chanzo cha kubadilishana majengo ya serikali kweli? Ni upendo wa aina gani huu wa kutoana uhai

Credits ๐Ÿ“ท: Royal Tv

10/03/2026

Something in the middle dancing ๐ŸŽถ

10/03/2026

Mambo ndio haya sasa ๐Ÿ”ฅ

Credits ๐ŸŽฅ: smile_events Kijiwe Mtandao

10/03/2026

Inatakiwa wafanye msako inchi nzima ili kubaini hizi hujuma dhidi ya wanainchi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara

Credits: ๐ŸŽฅ ITV

Address

Paradise, IL

Telephone

+255687270690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijiwe Mtandao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share