15/02/2022
Uongozi Wa Moonlight Academy Pre & Primary School unapenda Kuwa Tangazia Kuwa Shule yao inatoa huduma Ya Shule ya awali na Msingi Babies Class,Middle Class,na Top Class na pia Kuna huduma Ya Hostel na Kutwa ...Na darasa la kwanza(Grade 1-7) Shule in usajili wa Necta ..