11/01/2025
TAARIFA NJEMA KWA WATU WOTE.
Chuo cha ufundi Sadock Simwanza kimeongeza muda wa kujiunga na chuo kwa ajili ya mafunzo msimu wa Januari 2025.
1. Nafasi bado zipo
2. Pia nafasi za bweni zipo
3. Ada nafuu sana.
Mawasiliano:
0716041905