Kiwira Internet CAFE - Kiwiranet

Kiwira Internet CAFE - Kiwiranet

We want to reach you no matter were you are or from, for the best services ever through the internet

Operating as usual

Photos from Kiwira Internet CAFE - Kiwiranet's post 20/08/2021

Kwa utengenezaji wa Matangazo ya kisasa ya Mikutano ya Injilif ( modern Gospel Crusade Banners )
M I K U T A N O Y A I N J I L I
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
EAGT Kiwira
#Bishop Emmanuel Mwaijala Kasalwike
#eagtbondelabaraka
#eagt
#bishobbrownmwakipesile

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO 01/08/2021

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO

Kwa utengenezaji wa Kadi za kisasa za mualiko waMatamasha ya UZINDUZI
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
https://www.youtube.com/watch?v=3M59bksPJdw

Erick S. Ndile

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO Muimbaji Erick S Ndile kuachia Albamu mpya wiki hii

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO 01/08/2021

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=3M59bksPJdw

ERICK NDILE UZINDUZI KUZINDUA ALBAMU MPYA YA VIDEO Muimbaji Erick S Ndile kuachia Albamu mpya wiki hii

31/07/2021

Kwa utengenezaji wa Kadi za kisasa za mualiko wa Harusi ( modern wedding invitation card )
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
Congrats Nehemia Mwaijala & Oliver Kyando
#eagtkiwira
#eagtbondelabarakakiwira

Congrats Nehemia Emmanuel Mwaijala & Oliver Kyando

Congrats
Nehemia Emmanuel Mwaijala Kasalwike ft Oliver Alex Kyando
#eagtkiwirabondelabaraka
#eagtbondelabarakakiwira
#weddingcard

Photos from Kiwira Internet CAFE - Kiwiranet's post 31/07/2021

Kwa utengenezaji wa Kadi za kisasa za mualiko wa Harusi,Send Off ( modern wedding invitation card )
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
Congrats
Lukia Denis Mwalyambwile, Modester Sebha Mwasakyeni,
Leonard Kalagho & Mariam Mwambwalo

17/07/2021

Kwa utengenezaji wa Poster za Birthday ( modern Birthday Posters )
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
#Happybirthday
# Abel Mwangwembe
#Julybirthdays
#abelbro

30/06/2021

Tangaza nasi Tukio/Biashara yako popote ulipo
Kwa Utengenezaji #Matangazo_ya_kisasa (Modern Business Posters & Modern Banners)-#Careeer_Banner

''We make your Brand successful ''

[email protected] // [email protected] // [email protected] // [email protected]
............................................................................................................................…
#Brightsand_Supply_and_Services_Company_Ltd
#BSS_Tanzania
#Employment_Opportunity
#Brickssellers

Utengenezaji #Badge_za_kisasa (Modern Church camp Badge & Modern Banners)-#Conference_Badge

..........................................................................................................................
#Baptist_Church_Tanzania (BCT)
#Umoja_wa_Vijana_Baptist_Tanzania_(UVBT)
#Spring_Valley_Secondary_Camp
#Iringa_2021

08/06/2021

DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO KUFUNGULIWA JULAI MOSI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2021/2022 linatarajia kufunguliwa Julai Mosi mwaka huu.

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa hati ya makubaliano baina ya HESLB na Wakala wa Usajili, Ufuilisi na Udhamini (RITA) iliyofanyika leo Jumatatu (Juni, 7, 2021), Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru alisema kabla ya kufunguliwa kwa dirisha la maombi HESLB, itatoa mwongozo wa uombaji mikopo unaotarajiwa kutolewa Juni 25 mwaka huu.

Aidha Badru alisema ofisi yake imekamilisha maandalizi yote kwa ajili ya msimu mpya wa masomo wa mwaka 2021/2021 na kuwataka wanafunzi wahitaji kutumia muda uliopo kwa ajili ya kukamilisha taratibu mbalimbali za uombaji mikopo.

“Tunawasihi wanafunzi kusoma kwa makini mwongozo wa uombaji mikopo utakaopatikana katika tovuti yetu (www.heslb.go.tz) ambao utachapishwa katika lugha ya kiingereza na Kiswahili, kabla ya kufungua dirisha la maombi mwanafunzi anapaswa kusoma mwongozo huu” alisema Badru.

Kuhusu bajeti ya mikopo, Badru alisema katika mwaka wa masomo 2021/2022 Serikali imetenga kiasi cha TZS 500 Bilioni kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu inayotarajia kunufaisha jumla ya wanafunzi 160,000.

Akifafanua kuhusu hali ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2020/2021, Badru alisema hadi kufikia Juni mwaka huu jumla ya wanafunzi 149,472 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 464 Bilioni, Kati yao, wanafunzi 55,337 ni wa mwaka wa kwanza na wengine 94,135 wanaoendelea na masomo.

Kwa upande wa urejeshaji mikopo, Badru alisema hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, HESLB ilikusanya kiasi cha TZS 168 Bilioni, ambayo ni sawa na 88.4% ya lengo la kukusanya TZS 190 Bilioni katika mwaka wa fedha 2020/2021.

Kwa upande wake, Kaimu Afisa Mtendaji wa RITA, Emmy Hudson alisema Ofisi imekamilisha hatua mbalimbali za kuwawezesha wanafunzi wahitaji ikiwemo kutoa mwongozo wa uhakiki wa vya kuzaliwa ambavyo ni moja ya nyaraka muhimu zinazohitaji wakati wa kuomba mikopo.

Aliongeza kuwa hadi sasa RITA imepokea jumla ya maombi 13,938 ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, ambapo kati yao maombi 7334 tayari yamehakikiwa, hivyo kuwataka wazazi na wanafunzi kutumia muda uliopo kwa ajili ya kukamilisha uhakiki wa nyaraka hizo.

Aidha Emmy alisema RITA itafanyia kazi maelekezo yote yaliyotolewa na kuimarisha ushirikiano na HESLB ikiwemo kuimarisha mifumo ya Tehama inayolenga kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi wakati wa uombaji mikopo ya elimu ya juu.
Mkuregenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru
#HESLB
#BODIYAMIKOPO

05/06/2021

Tangaza nasi Tukio/Biashara yako popote ulipo
Kwa Utengenezaji #Matangazo_ya_kisasa (Modern Business Posters & Modern Banners)-#Youtube_cover
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
''We make your Brand successful ''
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected] // [email protected]
............................................................................................................................…
Gospel Arist : Christina Enock
Youtube ; Christina Enock
Gusa link : https://www.youtube.com/channel/UCuD4VTefuW9cLPfkPXuYUJg

#Ni_Wabaraka
#Gospelmusic
#Tanzaniagospelmusic
#Haleluyarecords
#ProducerMwanjisi

Kwa Utengenezaji #Matangazo_ya_kisasa (Modern Business Posters & Modern Banners)-#Youtube_cover_photo
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
''We make your Brand successful ''
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
............................................................................................................................…
Hanfan tv =>Gusa link
https://www.youtube.com/channel/UCEh9-qHKg5KUVAbXxfyH6Dg

#Subscribe_Hanfantv
#Hanfan_media
#Uplifting_entertainment

Tangaza nasi Tukio/Biashara yako popote ulipo
Kwa Utengenezaji #Matangazo_ya_kisasa (Modern Business Posters & Modern Banners)-#Youtube_cover_photo
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
''We make your Brand successful ''
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
............................................................................................................................…
Hanfan tv =>Gusa link
https://www.youtube.com/channel/UCEh9-qHKg5KUVAbXxfyH6Dg

#Subscribe_Hanfantv
#Hanfan_media
#Uplifting_entertainment

05/06/2021

Kwa utengenezaji wa Kadi za kisasa za mualiko wa Harusi ( modern wedding invitation card )
Karibu #Kiwira__Internet____CAFE - Kiwiranet
// +255759 193 740 // +255 674 491 844 // +255 687 464 066 // +255777 672 285 // +255 676 826 422 // +255 752 570 808
[email protected] // [email protected] // [email protected]
.................................................................................................................................…
Congrats Salehe Joram Mwakalobo & Felister Benard
#SaleheJoram
#weddingday
#weddinginvitations
#Felisterbenard
#moderncard
#Kiwirainternetcafe
#KiwiraStationery
#mwakalobo

Location

Category

Payment Options

Cash Mastercard Visa

Telephone

Address

505 TUKUYU
Tukuyu
53515
Other Schools in Tukuyu (show all)
Bujinga secondary school Bujinga secondary school
P.O.BOX 483 TUKUYU
Tukuyu

#YETU WOTE <3 <3 je unaipenda shule yako? k**a jibu ni NDIO fanya kuLIKE PAGE hii BUJINGA SECONDARY SCHOOL S.L.P 483 TUKUYU

Imanuel Nursery And Farm Imanuel Nursery And Farm
Po Box 153
Tukuyu, 255

We supply Fruit tree seedlings like Avocado, Mango, Macadamia, cashew etc. We also deal with Fish farming, Spice Farming, Vegetable and Fruit Farming.