20/01/2019
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KUCHUNGUZWA
- Halmashauri ya Mbarali mkoani Mbeya itachunguza madai ya kuwepo kwa Wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika
- Diwani wa Rujewa amedai katika shule ya Kata yake wapo zaidi ya Wanafunzi 300 wa namna hiyo