Hope Riser Organization

Hope Riser Organization Hope Riser Organization is there to help the vulnerable students to achieve their Goals and Dreams

Due to the presence of needy students in many schools in Tanzania who cannot afford their school life’ expenses and those who are in disappointment position at the school that make them loose hope of achieving their Goals and Dreams through Education, then we , patriotic citizens of this nation (Tanzania) have seen the need to save our society particularly in education sector by establishing the H

OPE RISER ORGANIZATION which generally aims at ‘Providing morale and material supports to those students who are living the vulnerable state of life at their schools so as to enable them to achieve their intended Goals and Dream because we believe that :
"Education is the sharpest weapon for mindset liberation and against any violation within the society .”

Mtihani Mwema Kidato cha Nne!
05/11/2018

Mtihani Mwema Kidato cha Nne!



Vijana kutoka taasisi na mashirika mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuisha kongamano la vijana kuelekea...
14/10/2018

Vijana kutoka taasisi na mashirika mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuisha kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.


Viongozi wa Mashirika mbalimbali yaliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl....
14/10/2018

Viongozi wa Mashirika mbalimbali yaliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Timu nzima ya  iliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kumuenzi Mwl. J. K. Nyerere katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Mor...
14/10/2018

Timu nzima ya iliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kumuenzi Mwl. J. K. Nyerere katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro wakiwa na washiriki kutoka shirika la vijana la katika picha ya pamoja ya kirafiki.

Timu ya  ikiwa katika pozi mbalimbali kwenye Kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere ...
14/10/2018

Timu ya ikiwa katika pozi mbalimbali kwenye Kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Afisa Programu wa shirika la   Bw. Bahati Suleiman Mkeha akichangia mada kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha ...
14/10/2018

Afisa Programu wa shirika la Bw. Bahati Suleiman Mkeha akichangia mada kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Mwenyekiti Muasisi wa taasisi ya Hope Riser Organization (HRO) Ndugu Ally Seif Ramadhani  akiwa anawasilisha mazungumzo ...
14/10/2018

Mwenyekiti Muasisi wa taasisi ya Hope Riser Organization (HRO) Ndugu Ally Seif Ramadhani akiwa anawasilisha mazungumzo yake kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro. @ Morogoro, Tanzania

MOROGORO.....MOROGORO... MOROGORO🙌🙌🙌We will be there! Full Team! Don't plan to miss! African Transformers & St. Joseph U...
03/10/2018

MOROGORO.....MOROGORO... MOROGORO🙌🙌🙌
We will be there! Full Team! Don't plan to miss! African Transformers & St. Joseph University College are Our Hosts.


Taasisi ya Hope Riser inaungana na Watanzania wote kuomboleza Vifo vilivyotokana na kuzama kwa kivuko cha  .  Mungu azil...
22/09/2018

Taasisi ya Hope Riser inaungana na Watanzania wote kuomboleza Vifo vilivyotokana na kuzama kwa kivuko cha . Mungu azilaze roho za Marehemu pema Peponi na Awape Nguvu Ndugu, Jamaa na Marafiki Katika kipindi hiki Kigumu cha Majonzi.

KOFFI ANANIThe man behind our focus, The son of Africa, Influential Diplomat,May his soul Rest in Eternal Peace..
19/08/2018

KOFFI ANANI
The man behind our focus, The son of Africa, Influential Diplomat,
May his soul Rest in Eternal Peace..

Our Vision must always be "Inclusive Education" which left no one behind.
01/08/2018

Our Vision must always be "Inclusive Education" which left no one behind.

Address

Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hope Riser Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Hope Riser Organization:

Shortcuts

Share

Category