Shule Ya Mahusiano, Mapenzi na Ndoa.

Shule Ya Mahusiano, Mapenzi na Ndoa. Love is a fully independent world��

Wanaume wengi kwann mnapenda wa hivi🤣💁🏻‍♀️
27/09/2022

Wanaume wengi kwann mnapenda wa hivi🤣💁🏻‍♀️

08/07/2022

Habari! Kuna kaka anatafuta mahusiano
Ukiwa na uhitaji
Nitext nikuunganishe nae❤️

👇👇👇👇
Naishi kingamboni
Kazi nipo Rufiji kwenye
Bwawa la umeme
Umri 35

Kumpenda Sana isiwe sababu ya wewe KUUMIA KILA SIKU!💔Yaani eti kisa wewe umempenda Sana, umeamua kumheshimu, umeamua kuw...
04/07/2022

Kumpenda Sana isiwe sababu ya wewe KUUMIA KILA SIKU!💔

Yaani eti kisa wewe umempenda Sana, umeamua kumheshimu, umeamua kuwakataa wengine kwa ajili yake
Ndio atumie K**a fimbo ya kukuchapa kila siku!
HAPANA!!! Maumivu hayavumiliki! Ukiona mtu hakujali wewe, ujue yupo anayemjali kwa asilimia zote, ukiona hakuheshimu yupo anaemuheshimu vilivyo...
Vivyo hivyo kwako ukiona unampa mtu heshima na upendo wote bado hakuthamini ...YUPO MTU AMBAYE ATAHESHIMU NA KUJUA THAMANI YAKO...
Using'ang'anie kuwepo mahala USIPOTAKIWA!!
MAPENZI SIO KABILA ETI HUWEZ KUACHANA NALO❤️

01/06/2022

Helloooow❤️🤭

03/04/2022

Tunakaribisha maswali, na ushauri inbox nitaipost hapa ili na wengine wachangie✨🥀❤️

MAPENZI NI NINI?🥺
03/04/2022

MAPENZI NI NINI?🥺

Umewahi KUPENDA, USIPO PENDWA😟🥺?!
28/01/2022

Umewahi KUPENDA, USIPO PENDWA😟🥺?!

Pengine NDOA yaani suala la mtu kuoa au kuolewa linaweza likawa ni ndoto ya vijana wengi ambao bado hawapo kwenye mahusi...
08/01/2022

Pengine NDOA yaani suala la mtu kuoa au kuolewa linaweza likawa ni ndoto ya vijana wengi ambao bado hawapo kwenye mahusiano ama tayari Wana watu.
Lakini he unayajua yalimo kwenye ndoa? Umewahi kusikia msemo wa NDOA NDOANO???

Jiandae kwa Somo soon!

USIKURUPUKE KUMUACHA! HAPANA USIMUACHE!Hebu fikiria amekupa muda wake kiasi gani, mangapi mmefanya mkiwa pamoja, amekuko...
27/12/2021

USIKURUPUKE KUMUACHA! HAPANA USIMUACHE!
Hebu fikiria amekupa muda wake kiasi gani, mangapi mmefanya mkiwa pamoja, amekukosea sawa, lakini vipi wewe hujawahi kumkosea??!!
Unapoamua kusema hakufai jua Kuna wakati yeye pia aliona wewe humfai lakini hakuondoka alibaki!
USIKURUPUKE!!!
Utazunguka dunia nzima hautapata ambaye hakosei ama eti umpate ambaye Yuko sawa katika Kila kitu. Hiyo haipo
HAKUNA BINADAMU ALIYEKAMILIKA TANGU MISINGI YA DUNIA IMEWEKWA NA HATAWAHI KUTOKEA MPAKA KESHO KIAMA.
Samehe🙏🏼♥️

Upendo ni hisia isiyofichika, hasa ukimpata mtu ambaye moyo wako huwa na amani pale unapokuwa nae, mtu ambaye unajihisi ...
26/12/2021

Upendo ni hisia isiyofichika, hasa ukimpata mtu ambaye moyo wako huwa na amani pale unapokuwa nae, mtu ambaye unajihisi huru pindi anapokuwa karibu yako, mtu ambaye hujikuta umesahau matatizo yako yote pale tu anapokuwa na wewe ♥️
Mtu sahihi, huja wakati sahihi💟

Address

Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule Ya Mahusiano, Mapenzi na Ndoa. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category