Rosmin Reunion

Rosmin Reunion MOTO" LOVE STILL BINDS US TOGETHER"
Malengo makuu ni kuwaunganisha wanarosmin wote na kusaidiana katika mambo mbalimbali k**a vile misiba,harus n.k

13/07/2018

Form 6 NECTA RESULTS 2018.
,,,,,,,,,,,,,,,!

08/02/2018

People don't talk about any product they talk about brands if they talk about you it means you are a brand and you must watch the product you-Paul R.k Mashauri

06/02/2018

Four four NECT result for the year 2017.
Div 1.....58
Div 2....24
Div 3....0
Div 4....1
Centre Position
Regionalwise: 2/140
Nationalwise: 13
(Kwa wale waliochelewakuangalia matokeo)

07/06/2017

Tujumuike pamoja leo kwa kujua Uko wap na unafanya nini.
mfn.
Niko UDSM nasomea Sheria au
Niko CRDB-Moshi as branch manager.

Itasaidia kwa wanaotaka kupata msaada kwenye eneo ulilopo iwe rahisi saaana.
Karibu na tuhsirikiane.

24/05/2017
Tunawatakia kila la kheri watahiniwa wote wa kidato cha nne wanaotegemea kuanza mitihani yao kesho.Mungu wetu tunaemwami...
31/10/2016

Tunawatakia kila la kheri watahiniwa wote wa kidato cha nne wanaotegemea kuanza mitihani yao kesho.
Mungu wetu tunaemwamini akawe pamoja nanyi.
Amen.

Unaweza kupatambua? 😊
25/08/2016

Unaweza kupatambua? 😊

27/11/2015

Taarifa kutoka kwa Fr Diomed, Ni kwamba wanatarajia kuaga mwili wa marehem Fr Tony wiki ijayo jumatatu ( keshokutwa) kuanzia saa 9:30 alasiri pale kanisa kuu la roman Catholic chumbageni Tanga.
Rest in peace Fr Anthony

Rest in peace Fr Anthony Mitchell
26/11/2015

Rest in peace Fr Anthony Mitchell

New Administration block...
19/10/2015

New Administration block...

15/10/2015
Is it true;?? Lol!!!
26/09/2015

Is it true;?? Lol!!!

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rosmin Reunion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category