Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre

Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre

Share

this page created to be used as platform for sharing informations among students and staff member of the UNIVERSITY OF TANZANIA -TANGA REGIONAL CENT RE

Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 08/11/2022

Orrientaion 2022/2023 nov.intake

09/07/2022
Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 09/07/2022
Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 04/08/2021

Bado tunaendelea na udahili katika fani mbalimbalii kwa mwakwa wa masomo2021/2020..karibuni sanaaa

The Open University Of Tanzania 02/02/2020

*WAHITIMU* *KIDATO* *CHA* *NNE* *2019* *WENYE* *PASS* *NNE* ( *4*)

KARIBUNI SANA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA MUHULA WA MASOMO WA APRILI 2020

*Wapendwa* *Wahitimu*,

Awali ya yote tunapenda kuwapa kongole sana kwa jitihada zenu katika masomo zilizowawezesha mpaka mmefanikiwa kuhitimu na kufuzu vizuri katika masomo yenu.

*Chuo* *Kikuu* *Huria* *cha* *Tanzania* kinawakaribisha wahitimu wote waliopata *Pass* *Nne* ( *4*) za kuanzia kiwango cha D kujiunga na Certificates za chaguo lao zinazotolewa hapa Chuoni. Certificates hizo ni:

1. Certificate in Business Administration

2. Certificate in Accountancy

3. Certificate in Procurement and Supply

4. Certificate in Hair and Beauty Therapy

5. Certificate in Youth Work

6. Certificate in Information and Communication Technology

7. Certificate in Library and Information Studies

8. Certificate in Poultry Production and Health

9. Certificate in Social Work

10. Certificate in Entrepreneurship

*PROGRAMU* *MAALUMU*

1. Certificate in Early Childhood Care and Education (Muombaji awe na Division 3 ya Form four na kuendelea au mtu ambaye tayari ni Mwalimu. Hii ni Programu pekee ambayo sifa za kujiunga ni tofauti na nyingine zote.)

Programu hizi za Certificate husomwa kwa mwaka mmoja wa masomo ambao ni sawa na miezi tisa (9) na mara baada ya kuhitimu, mhitimu hujiunga na Diploma katika fani yake.

*Wapendwa* *Wazazi* *na* *Wahitimu*,

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kina matawi katika mikoa yote ya Tanzania Bara na katika Visiwa vya Unguja na Pemba. Hiki ni Chuo Kikuu cha Serikali kilichoanzishwa kwa sheria ya Bunge namba 17 ya mwaka 1992. Tunawaomba mfike kwenye matawi yetu kwa huduma za udahili ambazo hufanywa bure bila ya malipo yoyote. Pia, maombi yanaweza kutumwa moja kwa moja kupitia *www.out.ac.tz*

Ada ya Certificate zetu ni nafuu sana ambapo kwa mwaka mzima ni Laki Saba na Elfu Ishirini (720,000/=) tu. Ada hii inalipwa kwa awamu mbili, yaani 360,000/= kwa awamu moja.

*Wapendwa* *Wazazi*,
Tunawasihi muwalete watoto wenu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wapate elimu bora na tena kwa gharama nafuu. Mtoto wako atasoma akiwa anatokea nyumbani na hivyo hakuna gharama za hosteli.

Maombi yanapokelewa sasa hivi kwa ajili ya *_Intake_* *ya* *Aprili* *2020* . Hakuna haja ya kupoteza muda kwani mwezi April 2020 masomo yanaanza katika vituo vyetu vyote nchi nzima. *Mwisho* wa kupokea maombi kwa muhula wa Aprili ni *15*/ *3*/ *2020*

*Kumbuka*: Wahitimu wa Kidato cha Nne wa miaka ya nyuma wenye ufaulu wa *Pass* *Nne* *4*) nao pia wanapokelewa.

Kwa maswali na ushauri usisite *kutuandikia* *ujumbe* *mfupi* kupitia *0719017254*

Imetolewa na:
Dkt. Mohamed Omary Maguo
Mhadhiri na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Dar es Salaam
2/2/2020.

The Open University Of Tanzania The Open University Of Tanzania

Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 01/12/2019

37 gradyation ceremony

Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 22/11/2019

Karibuni sanaa dirisha bado lipo waz

Photos from Open University of Tanzania -Tanga Regional Centre's post 24/07/2019

Applications are still open please visit www.out.ac.tz to submit your applications or visit any nearest centre for assistance

11/07/2019

Udahili katika foundation chuo kikuu huria

Want your school to be the top-listed School/college in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


TUCTA Building
Tanga
P.OBOX5467