Bright English Medium Schools

Bright English Medium Schools Bright Schools Elimu bora kwa mwanao.

Pole Tanzania Yetu. Pole Kwa Watanzania na wote tulioguswa na msiba huu mkubwa 😭Pumzima Kwa amani Raisi wetu mungu akufa...
17/03/2021

Pole Tanzania Yetu. Pole Kwa Watanzania na wote tulioguswa na msiba huu mkubwa 😭
Pumzima Kwa amani Raisi wetu mungu akufanyie wepesi huko uendako. Mungu ibariki Tanzania.

Hongera Vijana Wetu Kwa Kuhitimu Elimu Ya Msingi...
11/10/2020

Hongera Vijana Wetu Kwa Kuhitimu Elimu Ya Msingi...

11/10/2020
Bright English Medium Schools Tanga inatoa pole kwa wafiwa na watanzania kwa ujumla kutokana na Ajali mbaya ya kuzama kw...
21/09/2018

Bright English Medium Schools Tanga inatoa pole kwa wafiwa na watanzania kwa ujumla kutokana na Ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere.
Tunamuomba Mungu atusimamie katika kipindi hiki kigumu

Bright English Medium Schools - Inawatakia Wazazi Na Wanafunzi Wote Nchini Eid Mubarak
15/06/2018

Bright English Medium Schools - Inawatakia Wazazi Na Wanafunzi Wote Nchini Eid Mubarak

25/06/2017

EID MUBARAK

Uongozi wa Shule ya Bright English Medium School iliyopo Mwahako Tanga, Tanzania Unatoa Pole kwa Wazazi, Walimu, Wanafun...
08/05/2017

Uongozi wa Shule ya Bright English Medium School iliyopo Mwahako Tanga, Tanzania Unatoa Pole kwa Wazazi, Walimu, Wanafunzi, Ndugu na jamaa wote wa Wanafunzi , Walimu na Dereva Wa Shule ya Lucky Vincent waliofariki katika Ajali mbaya ya gari iliyotokea 6/5/2017 Siku ya Juma mosi kaskazini mwa Tanzania , ambapo basi aina ya Costa mali ya shule ya Lucky Vincent iliyoko eneo la kwa Mrombo. ,lilitumbukia katika mto Marera ulioko katika mlima Rhotia, , Karatu mkoani Arusha. Nakupeleka vifo vya Wanafunzi 32, Walimu 2 na Dereva 1.
MUNGU azilaze Roho za marehemu mahala pema... Amin.

Address

Mwahako
Tanga

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 16:00
Sunday 09:00 - 15:00

Telephone

255716054938

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bright English Medium Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category