Galanos BOYS HIGH School

Galanos BOYS HIGH School Page maalum kwa wanafunzi wote waliowahi kusoma shule ya kilimo ya sekondari Galanos. Kujifunza, kusa

Form six 2025.
07/07/2025

Form six 2025.

Pongezi Sana kwa vijana wetu wahitimu wa kidato cha sita kutoka GALANOS AGRICULTURAL SECONDARY SCHOOL, Class of 2024.Kil...
13/07/2024

Pongezi Sana kwa vijana wetu wahitimu wa kidato cha sita kutoka GALANOS AGRICULTURAL SECONDARY SCHOOL, Class of 2024.

Kila la kheri kwenye maandalizi ya kwenda Chuo Kikuu πŸ™ŒπŸ˜Š.

TANZIAHabari za Leo wanafamiliaTunasikitika kutangaza kifo Cha mwana GALANOS 2015-2017 (ECA) SHAFII MUNISI.Kilichotokea ...
12/06/2024

TANZIA

Habari za Leo wanafamilia

Tunasikitika kutangaza kifo Cha mwana GALANOS 2015-2017 (ECA) SHAFII MUNISI.

Kilichotokea June 11 2024 Kwa ajali ya kugongwa na mwendokasi mnamo saa 2 asubuhi shekilango urafiki.

Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda kwao Moshi na Mazishi ni kwao hukohuko Moshi siku ya leo tarehe 12/06/2024.

Inalilah wainailah raj uun

Ahsante kwa taarifa: grand msangi

Hivi ni Nani aliwahi kurudi shule yeyote aliyowahi kusoma na kuwasalimu/kuwashukuru wapishi kwa kazi waliyokuwa wanafany...
08/03/2024

Hivi ni Nani aliwahi kurudi shule yeyote aliyowahi kusoma na kuwasalimu/kuwashukuru wapishi kwa kazi waliyokuwa wanafanya?

Tumewahi kuwauliza ni changamoto gani huwa wanakumbana nazo Kwa upande wa pili wa kutekeleza majukumu yao.

TUJITATHIMINI πŸ˜€πŸ˜Ž

"BWANA AMECHUMA UA BUSTANINI MWAKE"Tumepokea taarifa ya KIFO cha Alumni mwenzetu FRANK HELBET MWALONGO aliyefariki mnamo...
27/12/2023

"BWANA AMECHUMA UA BUSTANINI MWAKE"
Tumepokea taarifa ya KIFO cha Alumni mwenzetu FRANK HELBET MWALONGO aliyefariki mnamo tarehe 19 Disemba, 2023 baada ya kuugua (amezikwa kijijini kwao Njombe)

FRANK aliesoma EGM mwaka 2016/17.

Tunamwombea pumziko la Amani daima πŸ™

Shukran kwa BANGI J. FADHIL kwa kutupasha habari hizi πŸ™

DJ waleteeee wazee wa kufuata BAIKOKO kwa milio Tu 🀣........!!
02/12/2023

DJ waleteeee wazee wa kufuata BAIKOKO kwa milio Tu 🀣........!!

WA sebiaa (CBA) wanamtambua vizuri 🀣🀣Itaneni
29/09/2023

WA sebiaa (CBA) wanamtambua vizuri 🀣🀣
Itaneni

RAI Kwa wadogo zetu mlioko shule GALANOS.Kuacha kuzurura mitaani na kandambili/malapa.Kwanza si unadhifu lakini pia inas...
23/09/2023

RAI Kwa wadogo zetu mlioko shule GALANOS.

Kuacha kuzurura mitaani na kandambili/malapa.
Kwanza si unadhifu lakini pia inashusha hadhi ya shule.

Sisi k**a Alumni, tunawasihi na kuwakumbusha ndugu zetu kwenye hili.

Tunawapenda na kuwajali Sana πŸ™β€οΈ

Naaaaaam
13/07/2023

Naaaaaam

HAPPY SUNDAYLeo ndo ilikuwa siku ya wali eenh?🀣🀣🀣
21/05/2023

HAPPY SUNDAY

Leo ndo ilikuwa siku ya wali eenh?🀣🀣🀣

Leo ndo TUNA TUPA NYUMA EEENH?! (Throwback) 🀣Haya DJ walete wanaukwata wa 2012 πŸ˜‚πŸ˜‚
04/05/2023

Leo ndo TUNA TUPA NYUMA EEENH?! (Throwback) 🀣
Haya DJ walete wanaukwata wa 2012 πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwaijua Tanga Ninyi?πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
13/10/2022

Mwaijua Tanga Ninyi?
πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Nguvumali
Tanga
P.OBOX5019

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Galanos BOYS HIGH School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category