24/06/2024
Habari Ndg.
Karibu chuo cha Afya HISANI kinatoa kozi za DIPLOMA & CERTIFICATE.
Chuo kina gharama nafuu na;
UNAWEZA UKAANZA CHUO KWA MALIPO YA 250,000 TU.
Chuo kinatoa kozi za Afya zifuatazo;
*1. PHARMACEUTICAL SCIENCES*
*2. CLINICAL MEDICINES*
Chuo kipo Korogwe - Tanga.
Ada zetu ni nafuu sana, malipo yanafanyika kwa awamu nne au kwa kila mwezi, na HUDUMA ZA HOSTEL ni bure.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0746 013 992.
Au tembelea website ya chuo: hisaniinstitute.ac.tz