St. Basil Day Care Centre And Nursery School

St. Basil Day Care Centre And Nursery School

Comments

Hello
Nipo KAGERA
Bado uhitaji wawalimu upo?
Mwaka huu hamna kozi ya pre - form one?
Asnte kwa kutoa elimu bora na siyo bora elimu

Education

Operating as usual

20/06/2021

Habari ya uzima wadau wote wa elimu nawasalimu kwa jina la jamuhuri....

Kwawakazi wa tanga shule yetu inawatangazia nafasi ya ualimu wa awali katika shule yetu iliyopo chumbageni wasiliana nasi 0786668696 na 0712244871

Habari ya uzima wadau wote wa elimu nawasalimu kwa jina la jamuhuri....

Kwawakazi wa tanga shule yetu inawatangazia nafasi ya ualimu wa awali katika shule yetu iliyopo chumbageni wasiliana nasi 0786668696 na 0712244871

[07/13/20]   Piga simu 0786663986 kwa anaye hitaji kwa anaye hitaji kuwa mwalimu katika shule zetu zilizopo chumbageni tanga na korogwe tanga karibuni

31/07/2019

St.basil day Care centre inakutangazia ewe mtanzania nafasi ya ualimu katika shule yetu
Nishule mpya tuliyo ifungua wilayani korogwe mkoani tanga

Sifa za mwombaji
1.awe na akili timamu
2.awe mwadilifu kazini
3.awe mwenye kukabiliana na changamoto za maisha
4.asiwe mwanaharakati
5.awe wa jinsi ya kike

Mawasiliano 0654407674

[12/29/18]   St basil day care centre inakutangazia nafasi za ualimu
Kwangazi ya awali
Shule iko tanga mjini kwa mawasiliano zaidi
0765984821
0712244871

[12/29/18]   Uongozi wa st basil unakutakia maandalizi mema ya kuukaribisha mwaka mpya 2019

[11/07/18]   [email protected]
0712244871 karibu st Basil kwa elimu na malezo bora ya mtoto wako

Pia kwa mwenye kuhitaji nafasi ya ualimu wasiliana Nasi kwa namba hiyo hapo juu na email address hapo juu karibuni sana

[11/07/18]   Habari ya asubuhi wapendwa st. Basil day care centre inakutakia asubuhi njema na juma tano njema

[10/21/18]   ST. Basil day care centre inakutangazia nafasi Za kazi ya ualimu pamoja na nafasi Za masomo kwa mwaka 2019 fomu zinapatikana shuleni. Tunapokea watoto kuanzia miaka miwili mpaka miaka minne

15/01/2018

karibuni sana waungwana

04/12/2017

Matukio mbali mbali Katika sherehe ya kuwaaga vijana Wa kg 3 wanaokwenda kuanza standard one Mwakani

02/10/2017

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA SECRETARY
ST. BASIL DAY CARE CENTRE
Inakutangazia nafasi ya kazi ya secretary Katika kituo chetu kilichopo chumbageni
Sifa za mwombaji
1.awe amesomea usecreatry
2.awe na uzoefu angalau mwaka mmoja
3.ajue kuandika na kuongea kiingereza
Mwisho Wa kutuma maombi ni 9/10/2017
Maombi yote yatumwe St Basil Day care Centre SLP 5919 CHUMBAGENI TANGA
MAWASILIANO
0712244871
0765984821

21/09/2017

MUZE DEVELOPMENT ASSOCIATION
Inakutangazia nafasi Za kazi (10) kwa vijana wa umri wa 18-30 Katika shirika letu lililopo mkoani Tanga
Sifa Za mwombaji
Awe amemaliza kidato cha sita Na Chuo.
Mwisho wa kutuma maombi 30/9/2017
Maombi yapelekwe katika ofisi zetu zilizopo chumbageni katika jengo la CCM Karibu Na shule ya sekondari chumbageni kwa mawasiliano zaidi
0755816593
0712244871
0783549213
0713420902

[09/11/17]   PRE FORM ONE
ST. BASIL EDUCATION CENTRE INAKUTANGAZIA TUITION KWA VIJANA WOTE WALIO MALIZA DARASA LA SABA TUPO CHUMBAGENI KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI CHUMBAGENI PIA PONGWE MTAA WA SANAWARI
MASIMO MATHEMATICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, PHYSICS
MNAKARIBISHWA NYOOOOTE
0712244871 KWA MAWASILIANO ZAIDI

01/09/2017

Tukiwa ma baadhi ya wazazi walio kuja kuandikisha watoto wao katika kituo Chetu kipya cha St Basil Day care Centre kilicho pongwe Karibuni Sana 0712244871

01/09/2017

New St Basil Day care Centre at pongwe area you are most welcome at our school for good education to our children 0712244871

26/08/2017

Tukiwa katika kipindi cha watoto na kaka MARO KUTOKA UHURU FM TANGA 0712244871

[06/18/17]   Karibuni St Basil Day care Centre kwa elimu na Malezi bora kwa mwanao

13/02/2017

Its lunch time you are welcome

07/11/2016

Photos from St. Basil Day Care Centre And Nursery School's post

07/11/2016

Photos from St. Basil Day Care Centre And Nursery School's post

07/11/2016

Fomu Za kujiunga na na shule ya St basil zinqpatikana hapa shuleni Kwa bei ya ah. 5000 karibu St Basil Kwa elimu bora na si bora elimu tupo tanga mjini Kata ya Chumbageni karibu na shule ya msingi na sekondari Chumbageni
Kwa mawasiliano zaidi 0712244871 na 0652515124

17/10/2016

Photos from St. Basil Day Care Centre And Nursery School's post

[10/11/16]   Karibu st. Basil day care centre kwa elimu Bora Ya Mwanafunzi tupo Chumbageni Karibu na shule ya sekondari Chumbageni katika jengo LA chama cha mapinduzi (CCM) wasiliana Nasi kupitia namba zifuatazo 0712244871 n'a 0652515124

11/10/2016

Pictures of children

11/10/2016

St. Basil Day Care Centre And Nursery School's cover photo

11/10/2016

St. Basil Day Care Centre And Nursery School

Location

Category

Address


P. O. Box 5919
Tanga
0712244871
Other Schools in Tanga (show all)
Kongei secondary school Kongei secondary school
Lushoto
Tanga

Tanga Elite Teachers College Tanga Elite Teachers College
PO Box 5555
Tanga

Tanga Elite Teachers College, is a private teachers college located in Pingoni, Tanga District

Tongani High School Tongani High School
Pangani
Tanga, SLP 130 , 75 KM FROM PANGANI TOWN .

Tongani high school is in mkaramo village located in pangani district in Tanga. The school serves day and boarding for both O level and Advanced level.

Elohim Boys' Secondary School Elohim Boys' Secondary School
Mwambani
Tanga, 580

Elohim boys' sec School is a complete boarding facility for boys which is located in Mwambani area 12km from Tanga city council. We are among best boys' boarding school which offers quality education for the future generation.

St.christina Girls' SEC School St.christina Girls' SEC School
Kange
Tanga, P.O.BOX 5733

St. Christina Girls' Secondary School is a Girls' Boarding school situated in Tanga Municipality 5 kilometers from Tanga town along the Dar-es-salaam road.