Durusu Kiswahili

Durusu Kiswahili Kiswahili kinabadilika kila kuchao. Maneno mapya yanaongezeka na mengine ya awali yanaachwa au yanabadili maana.

Durusu Kiswahili ipo kupambanua mabadiliko haya kwa kuangazia maneno mapya, maana mpya na jinsi yanavyotumiwa katika lugha hii adhimu ya Kiswa

Je, mfasiri kutoka Kenya anaweza kufanya kazi inayolenga Tanzania?
16/03/2025

Je, mfasiri kutoka Kenya anaweza kufanya kazi inayolenga Tanzania?

Katika mdahalo huu, wafasiri na wakalimani kutoka Kenya, Kongo, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, wanajadili ikiwa kuna tofauti zozote zinazoweza kufanya m...

Hii inakuhusu, Bodi ya Huduma za Maktaba inakualika katika maonesho ya vitabu. Tukutane panapo majaliwa.
20/08/2024

Hii inakuhusu, Bodi ya Huduma za Maktaba inakualika katika maonesho ya vitabu. Tukutane panapo majaliwa.

Balozi wa Tanzania nchini Kuba, Humphrey Polepole aeleza jinsi Tanzania inavyokuza Kiswahili katika eneo la Karibe na fu...
27/06/2024

Balozi wa Tanzania nchini Kuba, Humphrey Polepole aeleza jinsi Tanzania inavyokuza Kiswahili katika eneo la Karibe na fursa zilizopo kuelekea Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Havana

Balozi wa Tanzania nchini Kuba, Humphrey Polepole aeleza jinsi Tanzania inavyokuza Kiswahili katika eneo la Karibe na fursa zilizopo kuelekea Kongamano la Ki...

Muda wa kufundisha na mtazamo wa baadhi ya wanafunzi, ni miongoni mwa mambo yanayotanza kasi ya ukuaji wa Kiswahili nchi...
24/06/2024

Muda wa kufundisha na mtazamo wa baadhi ya wanafunzi, ni miongoni mwa mambo yanayotanza kasi ya ukuaji wa Kiswahili nchini Burundi.

Muda wa kufundisha na mtazamo wa baadhi ya wanafunzi, ni miongoni mwa mambo yanayotanza kasi ya ukuaji wa Kiswahili nchini Burundi.

Japo neno mwendokasi au mabasi ya mwendo kasi linatumika miongoni mwa wasemaji wa Kiswahili, kimantiki, si sahihi. Sabab...
23/06/2024

Japo neno mwendokasi au mabasi ya mwendo kasi linatumika miongoni mwa wasemaji wa Kiswahili, kimantiki, si sahihi. Sababu zipo kwenye video.

Japo neno mwendokasi au mabasi ya mwendo kasi linatumika miongoni mwa wasemaji wa Kiswahili, kimantiki, si sahihi. Sababu zipo kwenye video.

Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, k**a vil...
22/06/2024

Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, k**a vile Chimbalazi/Chimwiini au Kibarawa, Kibajuni zitaongeza mchango katika Kiswahili sanifu. Huu hapa mtazamo wa mtafiti wa lahaja za Kiswahili, Dkt. Mwanahija Ali Juma.

Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, k**a vile Chimbalazi/Chimwiini au Kibarawa, K...

Katibu Mtendaji wa BAKITA Consolata Mushi afafanua mantiki iliyoongoza uteuzi wa Akili Mnemba kuwa kisawe cha Artificial...
21/06/2024

Katibu Mtendaji wa BAKITA Consolata Mushi afafanua mantiki iliyoongoza uteuzi wa Akili Mnemba kuwa kisawe cha Artificial Intelligence.

Katibu Mtendaji wa BAKITA Consolata Mushi afafanua mantiki iliyoongoza uteuzi wa Akili Mnemba kuwa kisawe cha Artificial Intelligence.

Bodi ya Huduma za Maktaba, Zanzibar inavyohakikisha huduma zinawafikia wote
12/06/2024

Bodi ya Huduma za Maktaba, Zanzibar inavyohakikisha huduma zinawafikia wote

Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma za Maktaba - Zanzibar Bi. Ulfat Abdulaziz Ibrahim, anaeleza jinsi bodi inavyohakikisha kuwa huduma zinapatikana kwa watumiaji wote.

Jumuiya ya Afrika Mashariki Jumuiya ya Afrika Mashariki iwe na msimmao mmoja kuhusu Kiswahili Prim Asiimwe
08/06/2024

Jumuiya ya Afrika Mashariki Jumuiya ya Afrika Mashariki iwe na msimmao mmoja kuhusu Kiswahili Prim Asiimwe

Katibu mkuu wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Dkt. Caroline Asiimwe akieleza umuhimu wa kuwa na sauti moja katika masuala yanayohusu Kiswahili.

Wanafunzi na wasomi ni wengi lakini matumizi ya Kiswahili yanasuasua -Prof. Chacha Nyaigotti-Chacha
06/06/2024

Wanafunzi na wasomi ni wengi lakini matumizi ya Kiswahili yanasuasua -Prof. Chacha Nyaigotti-Chacha

Wanafunzi na wasomi ni wengi lakini matumizi ya Kiswahili yanasuasua, asema Prof. Chacha Nyaigotti-Chacha

Kiswahili Italia na Ujerumani
05/06/2024

Kiswahili Italia na Ujerumani

Dkt. Flavia Aiello na Dkt. Roberto Gaudioso waeleza hali ya Kiswahili nchini Italia na Ujerumani mtawalia.

Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine - Prof. Fikeni Senkoro
04/05/2024

Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine - Prof. Fikeni Senkoro

Prof. Fikeni Senkoro akidadavua uhusiano uliopo baina ya Kiswahili na taaluma nyingine.

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Durusu Kiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Durusu Kiswahili:

Shortcuts

Share