26/09/2024
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh...
Alhamdulillah - Penda na ujifunze kuitumia wakati wa kushukuru neema kutoka kwa Allah.
Mfano :- Alhamdulillah nimeamka salama
Alhamdulillah nimefika salama
Alhamdulillah nimepata rizki
Subhanallah - Jifunze kuitumia katika hali ya mshangao juu ya ukubwa, utukufu, ubora, upekee nk alionao Allah juu ya viumbe vyake
Mfano :- Subhanallah jogoo kataga yai
Subhanallah sijameza dawa asubuhi
Subhanallah nimechelewa kuswali