Usagara Secondary School - Tanga

Usagara Secondary School - Tanga The former Karimjee Secondary School.

23/08/2024

Makofi ya kwaheri kwa Mr. Mandawa kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha sita alipokuwa anawaaga baada ya kupata uhamisho kwenda Shule ya Sekondari ya Tanga Technical.

Kikao cha Mkuu wa shule na walimu wa A'level kutathmini matokeo ya Mtihani wa Taifa wa kidato cha sita (ACSEE) mwaka 202...
19/07/2024

Kikao cha Mkuu wa shule na walimu wa A'level kutathmini matokeo ya Mtihani wa Taifa wa kidato cha sita (ACSEE) mwaka 2024.

Aliyekuwa mwanafunzi wa shule yetu Mwalimu Mdharuba Khatib ambaye kwa sasa ni mwalimu na pia ni mwanafunzi wa Shahada ya...
16/07/2024

Aliyekuwa mwanafunzi wa shule yetu Mwalimu Mdharuba Khatib ambaye kwa sasa ni mwalimu na pia ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) na mtunzi mahiri wa vitabu akiwa kwenye ziara shuleni hapa kwa ajili ya kukitangaza kitabu chake cha somo la Hisabati kwa kidato cha kwanza hadi cha nne kiitwacho ESSENTIAL MATHEMATICS FOR SECONDARY SCHOOL.

Wanafunzi watano bora wa kidato cha pili waliopata division one ya point 7 kwenye mitihani yao ya muhula wakipokea zawad...
16/07/2024

Wanafunzi watano bora wa kidato cha pili waliopata division one ya point 7 kwenye mitihani yao ya muhula wakipokea zawadi zao kutoka kwa Headmaster.

Wakali wa kidato cha kwanza kwenye picha ya pamoja na mkuu wa shule wakiwa na zawadi zao za " maokoto" mkononi.........H...
13/07/2024

Wakali wa kidato cha kwanza kwenye picha ya pamoja na mkuu wa shule wakiwa na zawadi zao za " maokoto" mkononi.........Hongereni sana endeleeni kukaza buti point 7 isimame hadi NECTA form four.

Wanafunzi watatu bora waliofanya vizuri zaidi kwa kidato cha kwanza na kupata Division one point 7 kwenye mitihani ya Te...
13/07/2024

Wanafunzi watatu bora waliofanya vizuri zaidi kwa kidato cha kwanza na kupata Division one point 7 kwenye mitihani ya Terminal. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Semina elekezi (Orientation) kwa wanafunzi wapya wa kidato cha tano 2024/25 ikiongozwa na Mkuu wa Shule Mr. Alex Birumo ...
12/07/2024

Semina elekezi (Orientation) kwa wanafunzi wapya wa kidato cha tano 2024/25 ikiongozwa na Mkuu wa Shule Mr. Alex Birumo kwenye ukumbi wa Assembly siku ya Ijumaa tarehe 12, Julai, 2024.

Kikao cha wazazi wa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2024 kupanga mikakati ya kuwawezesha wanafunzi kufanya vizuri kuel...
06/07/2024

Kikao cha wazazi wa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2024 kupanga mikakati ya kuwawezesha wanafunzi kufanya vizuri kuelekea kwenye mtihani wao wa Taifa mwishoni mwamwaka huu.

BEST WISHES TO YOU GUYS.
05/05/2024

BEST WISHES TO YOU GUYS.

Semina elekezi kwa watahiniwa wa kidato cha sita wa mtihani wa ACSEE 2024 unaoenda kuanza siku ya jumatatu tarehe 6 Mei ...
03/05/2024

Semina elekezi kwa watahiniwa wa kidato cha sita wa mtihani wa ACSEE 2024 unaoenda kuanza siku ya jumatatu tarehe 6 Mei 2024..

25/04/2024

Address

Usagara Area
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Usagara Secondary School - Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category