20/01/2022
Nafasi ya Kazi
Tawheed Islamic English Medium Pre & Primary School- Kigombe Tanga Tanzania
Inawatangazia nafasi ya Kazi ya uwalimu Msingi
Sifa
1. Awe na Elimu isiyopungua Diploma ya Uwalimu
2. Awe na uwezo katika masomo yote ya Shule za msingi
3. Awe na uzoefu kazini usiopungua miaka miwili
Maombi yote yatumwe kupitia Email: [email protected]
Au WhassApp namba 0714183628
Mwisho wa kupokea maombi ni January 30/2022
Ahsante