HAKI SEC. SCH.-Tanga

HAKI SEC. SCH.-Tanga

Share

It's 'O' level Mixed Day & Boarding school

21/02/2024

TAHADHARI:

Account hii imechafuliwa na tapeli alijaribu kutakata kupata urahisi wa kupiga watu pesa zao.

Usi fuate Wala kujaribu maelekezo yliyowekwa humu yasiokuea na uhusiano na Shule.

Tunaendelea na taratibu za kuirejesha ktk salama yake

Shukrani sana.

HAKI SEC. SCH.-Tanga It's 'O' level Mixed Day & Boarding school

20/02/2024

REGISTRATION STILL IN PROGRESS FOR F.ONE

HAKI SEC. SCH.-Tanga It's 'O' level Mixed Day & Boarding school

04/08/2023

Sasa ni maandalizi ya kozi maalum yaaaaa
PRE-FORM ONE
2023/24
Karibuni sana

28/10/2022

TUNAENDELEA NA PRE-FORM ONE COURSE KWA GHARAMA NAFUU SANA.

Photos from HAKI SEC. SCH.-Tanga's post 25/10/2022

It was a marvelous Saturday

Photos from HAKI SEC. SCH.-Tanga's post 19/10/2022
Photos from HAKI SEC. SCH.-Tanga's post 27/09/2020

PRE-FORM ONE LOADING πŸ’ͺ πŸ‘‡

06/01/2020

Tarehe 5/1938 alizaliwa Profesa Ngugi wa Thiong'o nguli na mtu maarufu aliekua na uwezo mkubwa wa kuitumia kalamu vilivyo katika uandishi wa vitabu mbalimbali vinavyotumiaka mashuleni na vyuo vikuu ikiwemo "The river between na This time tommorow"

Alizaliwa nchini Kenya (kamiriithu) na Ni Kati ya waandishi waliopitia misukosuko kutokana na kuandika ukweli kuhusu serikali yake

Je ushawahi kumsikia? Na wapi? πŸ‘‡πŸ‘‡

Photos from Pongwe Islamic Girls' Sec School's post 28/11/2019

Love your neighbour

18/11/2019

Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine...

Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA...

Uzuri ni kwamba maisha huwa hayana formula maalum...aliyesoma maskini, wakati asiyesoma ni tajiri, na kuna asiyesoma maskini wakati aliyesoma ni tajiri...

Mwenye pesa anaumizwa na mapenzi mpaka anatamani kuwa Single na asiye na pesa anaachwa kwa sababu hana kipato cha kumudu gharama za wake mwenzi...

Unawaza kuacha shule ili ufanye biashara kwa sababu watu wengi wanafanikiwa na muda huo huo kuna mwenzako anawaza kuacha biashara kwa sababu biashara hailipi ili arudi shule akimaliza akaajiriwe...

Ingelikuwa maisha yana jibu moja wala tusingeona utamu wake...HUAMINI...? chukua hii wakati wewe unaumiza kichwa ufanye nini ili ufanikiwe kuna mwenzako anatamani angefikia walau hata robo tu ya maisha yako...

Ishi kwa amani...ishi kwa upendo, ishi kwa furaha...maisha ndiyo haya haya...hakuna formula zaidi ya kuishi maisha yako...

Hard work pays...Ni kweli wakati mwingine kwenye maisha kufanikiwa huwa ni bahati, ila ni kwa wale tu ambao wanazielekeza bahati kuja upande wao...

Kuna anayejituma sana lakini miaka nenda rudi hafanikiwi na yupo mvivu na uvivu wake anatusua...kuna anayeweka bidii kubwa kwenye kazi/biashara na bado hafikii malengo...(Utamu wa Maisha)

Usiumize sana kichwa kuishi maisha ya wengine kwenye maisha yako....bali unatakiwa kutumia muda wako mwingi kuishi maisha yako kwenye maisha yako...

Dunia inakuruhusu kupanga na kubonyeza kitufe unachoona ni sahihi na huku ikiwa imeficha "button" ya matokeo...kazi yako kubwa ni kuumiza kichwa kipi ni kitufe sahihi unachopaswa kubonyeza ili kikuonyeshe "button" ya matokeo unayoyahitaji...

"Strategy is about setting yourself apart from the competition...It’s not a matter of being better at what you do it’s a matter of being different at what you do..."

18/11/2019

K**a mzaha mzaha tu lakn
Ndo hivyo nao
Wamesepa.
Haya kwaherini

Photos from HAKI SEC. SCH.-Tanga's post 03/11/2019

Furaha km hii tena twaitegemea pale matokeo yatakapo tangazwaaaaaa

Best of your luck

Want your school to be the top-listed School/college in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Nguvumali-Mwamboni
Tanga

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 07:00 - 12:00