ZELHA computer centre

ZELHA computer centre

This page is about Computer Knowledge

[11/04/14]   zcc now came in new look,new plan,new skills to fullfil your ICT knowledge

27/10/2014

COMPUTER TRAINING CENTRE
"Tupo barabara ya sita karibu na Traveller in hotel au jirani na ilipokuwa hotel ya Tahmed zamani"

21/10/2014

PATA MAFUNZO BORA YA KOMPYUTA KWA GHARAMA NAFUU.

21/10/2014

TANGAZA BIASHARA YAKO KUPITIA ZCC

20/10/2014

VACANCY-deadline 22/10/2014

19/10/2014

HP 1706 for 85,000/= only!

19/10/2014

HP MONITOR ON SELL...............!

17/10/2014

VARIETIES COMPUTER MONITORS ON SELL......
PRICE:Start 80,000/=(dell),85,000/=(hpl1706) and 90,000/=(hp1740)

14/10/2014

zelha computer centre
"LEARN FOR BETTER FUTURE"

[10/12/14]   TUNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
"msisite kutembelea katika kituo chetu kwa mahitaji ya ki-IT"

[10/08/14]   TEMBELEA ZCC TANGA KWA HUDUMA BORA ZA ICT

07/10/2014

Timeline Photos

[10/06/14]   WE ARE NOW BACK ON ICT!

[08/28/14]   News!
______________________________________
"RECOVER YOUR DATA FROM FORMATTED HDD"

[08/06/14]   ni siku nyingine tena ndugu na jamaa!
TUNAWATAKIA SIKU NJEMA!

"msisahau kutembelea ofisini kwetu barabara ya 6 kwa huduma za ki-IT"

[08/02/14]   TUNAWATAKIA WEEK END NJEMA!

[07/02/14]   NEW OFFER!
JE UNATAKA KUBORESHA OFISI YAKO KWA KUTUMIA MIFUMO YA TEKNOLOGIA YA HABARI NA MAWASILIANO?
JE UNGEPENDA KUWAFIKIA WATEJA WA BIASHARA YAKO KWA WAKATI?
JE UNAHITAJI KUJIFUNZA KOMPYUTA KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI NA YA OFISINI?
JE UNAHITAJI UJUZI WA UFUNDI WA KOMPYUTA?
JE UNAHITAJI KUUZA BIDHAA ZAKO KWA NJIA YA MTANDAO?
jibu ni moja tu "YES"
SASA TEMBELEA KATIKA OFISI YETU BARABARA YA SITA ,TUPO KARIBU NA JENGO LILIOKUWA HOTEL YA TAHMED ZAMANI. KWA MAWASILIANO PIGA: 0272645195
KARIBUNI SANA!

[05/27/14]   ni sku nyegine tena,, hatuna budi sote kwa pamoja kumshukuru MFALME WA WAFALME kwa kutuamsha njema na kuendelea na mishe mishe za ujenzi wa mataifa yetu. ni ZELHA computer centre tunawatakia sku yenye aman na upendo, bila kusahau kuwa pamoja nasi kupitia mawasiliano yetu ya simu, inbox, ktk ukurasa wetu wa fb na twitter. ASANTENI,,,NA KARIBUN KUFUFARIA HUDUMA ZETU.

[05/26/14]   ni jumatatu nyingine, kumekucha ZELHA computer centre ikiwatakia asubuhi njema ktk kuwajibika na mishemishe za ujenzi wa taifa.
bila kusahau ku like ukurasa wetu wa fb ili uwe sambamba na sis kwa kila linalojuzu katka ofis zetu juu ya huduma zetu
TUWATAKIE KAZI NJEMA,,, ASANTEN, NA KARIBUUUN.

[05/25/14]   wapenz wa ZELHA computer centre mlioko ndani,na nje ya tanga pamoja na nje ya tanzania kwa ujumla, ni matumain yetu mmeaka njema na mnaitumia vyema weekend ktk kukamilisha majukum ya kifamilia.
NI ZCC INAWATAKIA SIKU NJEMA NA BILA KUSAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI UJUE YANAYOJUZU KILA UCHAO KTK OFIS ZETU NA KUFARAHIA HUDUMA ZETU. ASANTEENI,,NA KARIBUUN

[05/24/14]   una maoni yoyote, maswali yoyote, tatizo lolote kuhusu ICT!!?
@zcc tanga tupo kwa ajili yako,, wasiliana na sis kupitia inbox ya zcc tanga, fb wall, page, twitter na kupitia simu.
zcc inakujali km inavyojijali,, asantenii,,karibuuni

Location

Telephone

Address


Tanga
P.O.BOX 1850-TANGA
Other Tanga schools & colleges (show all)
Tanga Technical School Tanga Technical School
P.O.BOX 5002 TANGA
Tanga

THE FIRST SECONDARY SCHOOL IN TANZANIA ,OUR MOTTO IS "SERVICE NOT SELF"welcome //

St.christina Girls' SEC School St.christina Girls' SEC School
Kange
Tanga, P.O.BOX 5733

St. Christina Girls' Secondary School is a Girls' Boarding school situated in Tanga Municipality 5 kilometers from Tanga town along the Dar-es-salaam road.

Empower the Community and Environmental Conservation Organization Empower the Community and Environmental Conservation Organization
80502
Tanga, 255

E.C.E.C.O is Non – Governmental organization established in 2011 and get full registration in 2014 with registration number 00007207.

Chumbageni Primary School Chumbageni Primary School
Tanga

Chumbageni Primary School is in Tanga, Tanzania. Over 1000 children ages 4 to 13 are enrolled, taught by a staff of 27.

Ronagi Health Informtion center Ronagi Health Informtion center
Tanga, 255

Ronagi health information centre is one among which covers different services 'It is located at Tanga.

Tongani High School Tongani High School
Pangani
Tanga, SLP 130 , 75 KM FROM PANGANI TOWN .

Tongani high school is in mkaramo village located in pangani district in Tanga. The school serves day and boarding for both O level and Advanced level.

IJUE DINI YA Kiislam IJUE DINI YA Kiislam
Tanga, 53

IJUE DINI YA KIISLAM

Tanga Elite Teachers College Tanga Elite Teachers College
PO Box 5555
Tanga

Tanga Elite Teachers College, is a private teachers college located in Pingoni, Tanga District

The Best Indicies Forex Brokers The Best Indicies Forex Brokers
Tanga, 434

https://track.deriv.com/_HJ4paoojYYW2vdm9PpHVCmNd7ZgqdRLk/1/

Rosmini secondary school Tanga Rosmini secondary school Tanga
676 Tanga
Tanga, 0692