Taa ya Elimu

Taa ya Elimu

Share

🕌 MAWAIDHA | 🤲 DUA | 🎥 VIDEO FUPI
"Neno moja linaweza kubadili maisha yako." Tu follow kwa video fupi za Kiislamu ambazo zitakuletea faida kubwa sana.

Bonyeza link hapo chini ili kufuata mitandao yetu mingine. 👇👇👇
https://linktr.ee/Taayaelimu

06/03/2026
06/03/2026
06/03/2026
06/03/2026

MASHARTI 10 ILIOTANGAZA AL HIKMA FOUNDATION YA NDOA 130

12/10/2025


04/10/2025

HIZI NDIO ZAMA ZA UONGO

01/10/2025

MWENYE IMAN KILA KITU KWAKE KHERI


25/09/2025

KUTO KUIHISI IBADA KUNAPUNGUZA THAWABU KATIKA SWALA




22/09/2025

KWANINI TUNASEMA MWANADAMU AMEUBWA KWA UDONGO



04/07/2025

SUBHANALLAAH 🥲MPAKA JINA LAKO MAUTI YATAKUPOKONYA



04/03/2025

HUWEZI KUWA NA AKILI INAYOTUMIKA VIZURI USIPOFUATA MUONGOZO HUU (QURAN)

Qur’an ndio muongozo sahihi wa maisha, na katika mwezi wa Ramadhan, tunapaswa kuipa kipaumbele zaidi kwa kuisoma, kuitafakari, na kuifanyia kazi. Akili ya mwanadamu haiwezi kufanya maamuzi sahihi bila mwongozo wa Qur’an, na mtu asiyeifuata Qur’an yuko hatarini kupotea.

Ramadhan ni fursa ya kurekebisha akili na maisha kwa kurejea kwenye Qur’an, kuitumia k**a mwanga wa maisha yetu, na kuhakikisha kuwa tunafuata uongofu wake. Huu ndio mwezi wa kuisoma kwa wingi, kuisikiliza, na kuiishi, ili akili zetu ziwe na mwanga wa elimu sahihi na hekima.

Mwenyezi Mungu atufanye miongoni mwa wale wanaoshik**ana na Qur’an katika Ramadhan na baada yake, Ameen.

01/03/2025

TAA YA ELIMU tunawatakia Waislamu wote ulimwenguni Ramadhan Kareem. Tunamuomba Allah atutakabalie funga zetu, atutazame kwa rehema Zake, na atuwezeshe kufanikisha malengo ya Ramadhan kwa ibada, taqwa, na kheri.

Want your school to be the top-listed School/college in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Tanga