19/02/2026
π JIUNGE NASI KATIKA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TAWI LA TANGA - MUHULA WA MACHI 2026
Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga kinakuletea nafasi za masomo kwa muhula wa Machi 2026! Jiunge na sisi na pata kozi bora za ngazi ya Cheti na Diploma, zinazokidhi mahitaji ya soko la ajira.
π KOZI ZINAZOPATIKANA:
1. Utunzaji Kumbukumbu (Records Management)
2. Utawala wa Umma (Public Administration)
3. Ununuzi na Ugavi (Procurement and Supplies Management)
4. Usimamizi wa Rasilimali Watu (Human Resource Management)
5. Uhazili (Secretarial Studies)
π° ADA NAFUU:
- Cheti: TZS 900,000 kwa mwaka, malipo kwa awamu mbili.
- Diploma: TZS 1,100,000 kwa mwaka, malipo kwa awamu mbili.
π HOSTEL NA CHAKULA:
- Hostel: TZS 180,000 kwa muhula mmoja (Ndani na nje ya chuo).
- Chakula: Gharama nafuu sana.
π VIGEZO VYA KUJIUNGA:
- Cheti: Ufaulu wa masomo manne kuanzia alama D, bila kuhusisha masomo ya dini.
- Diploma: Uwe na cheti cha NTALevel4 au ufaulu wa masomo mawili.
π
MAWASILIANO:
- Kwa maswali na fomu za maombi, piga simu kwenye +255752829267, +255655425511, +255685460877 AU +255652158438.
π« ELIMU BORA, MAISHA BORA:
Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga ni mahali pazuri pa kupata elimu bora inayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Karibu sana kujiunga na sisi!