10/09/2026
Lumière Daycare Centre TUTAKUWEPO!!!
Ungana nasi katika Tanga Women's Gala Tanga Women Foundation – Msimu wa 9! Maonesho makubwa ya wajasiriamali na wanawake yenye lengo la kuunganisha, kutangaza na kufungua fursa mpya za kiuchumi.
Jiandae kwa siku tano za maonesho, biashara, kujifunza, kuunganishwa na fursa, pamoja na burudani zenye ladha halisi ya Tanga.
📍15–19 Septemba 2026
📍 Uwanja wa Tanga International
UWEZESHAJI ULIOZAA MATOKEO — MWANAMKE NI NGUZO YA UCHUMI!
Usibaki nyuma - njoo tuoneshe uwezo wetu, tusherehekee mafanikio yetu na tukue pamoja!
Jiamulie!!! Chagua Kukua !!! Badilisha Dunia.