ABUU AYMAN online business

ABUU AYMAN online business 💥MAFUNZO JINSI YA KUAGIZA BIDHAA NCHINI CHINA

https://wa.me/message/FWLOXJEOR5VYL1

💥Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi sana sana kuhusu mchakato mzima wa uagizaji bidhaa moja kwa mo...
08/06/2026

💥Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi sana sana kuhusu mchakato mzima wa uagizaji bidhaa moja kwa moja kutoka 🇨🇳China wao wenyewe bila mawakala, Na Yawezekana Nawe pia ni miongoni mwa WANAO JIULIZA!!!, Je, unajiuliza haya?
👇👇
1. Nitapataje wauzaji wa bei nafuu lakini wenye bidhaa bora? 🔍💰

2. Nitawezaje kuwasiliana na muuzaji k**a sijui Kichina au Kiingereza vizuri? 🗣️🇨🇳🇬🇧

3. Gharama za usafirishaji nitazijuaje mapema ili nisije kuingia hasara? 🚛💵

4. Nitalipaje kwa usalama bila kuhatarisha pesa zangu? 💳🔒

5. Ubora wa bidhaa nitaujua vipi—je, hii ni original au feki? ✅📦❌6. Je, nikilipia bidhaa na muuzaji asinipatie, nitapataje msaada wa kurejeshewa pesa zangu? 🔄💸

7. Mzigo wangu utasafirishwaje hadi Tanzania kwa uhakika na usalama? ✈️🚢🇹🇿

8. Nitawezaje kufuatilia mzigo wangu hatua kwa hatua hadi unipofikia? 📲🔍

9. Gharama za ziada k**a kodi na usafirishaji nitazifahamu vipi ili kupanga vizuri bajeti? 💵📉📈

10. Mbinu gani za kupata bei punguzo na kujadiliana na wauzaji? 🗨️💰

11. Je, bidhaa nitakazoleta zinakubalika kwenye soko la Tanzania? 🛒📈🇹🇿

12. Muda wa mzigo kufika Tanzania ni kiasi gani? ⏱️🌍

13. Nifanye nini ikiwa mzigo utakutana na changamoto njiani? 🛑📦

14. Je, nitapata msaada wa uhakika kutoka kwa kampuni za usafirishaji zenye gharama nafuu? 📞🚛💲15. Ushauri wa kitaalamu utakaonipa mwongozo wa kukabiliana na changamoto za kiuhakika ukoje? 📘🤝

💥Sasa, suluhisho la maswali yako yote haya Tunalo sisi 🇨🇳China To 🇹🇿Tanzania!, Tutakupatia majibu ya maswali yako yote, Ushauri pia Tutakuelekeze mwanzo mwisho namna ambavyo waweza kuagiza bidhaa mwenyewe nchini China bila Wakala!!!

Wasiliana nasi WhatsApp, BONYEZA HAPA👇👇👇👇https://wa.me/message/FWLOXJEOR5VYL1

03/01/2025
💥ENDAPO UKAJIUNGA NA MAFUNZO YANGU BASI UTAJIFUNZA MAMBO MENGI SANA MIONGONI MWA HAYO NI👇👇        👇👇1. Namna ya kupata w...
08/11/2024

💥ENDAPO UKAJIUNGA NA MAFUNZO YANGU BASI UTAJIFUNZA MAMBO MENGI SANA MIONGONI MWA HAYO NI👇👇
👇👇
1. Namna ya kupata wauzaji waaminifu wauzaji wenye kuuza bidhaa kwa bie za jumla na Rejareja tena kwa bei nafuu!!

2. Namna ya kuwasiliana na wauzaji hao (hata k**a haujui kichina wala kizungu) na kupata punguzo zaidi la bei!!

3. Namna ya kuzitambua bidhaa katika ubora wake yaani bidhaa Og na Feki!!

4. Namna ya kulipia bidhaa zako kwa njia salama kabisa kiasi ambacho kupoteza pesa zako ni jambo gumu sana tena sana labda tu mungu atake!!

5. Namna ya kufanya hesabu ya makadirio ya gharama za usafirishaji bidhaa zako China To Tanzania!!

6. Namna ya kufanya maamuzi ya njia sahihi ya kusafirisha bidhaa zako kupitia kampuni aminifu zenye kusafirisha bidhaa China To Tanzania kwa bei nafuu(Meli & Ndege)!!

7. Jinsi ya kuzipokea bidhaa zako pindi zinapofika Tanzania na kulipia gharama za usafirishaji bidhaa zako kwa njia nyepesi na salama kabisa na jinsi bidhaa zako zitakapo kufikia huko ulipo(Mkoani) kwa usalama kabisa!!

💥Kama utajiunga na mafunzo yangu basi nitakupa offer ya kukuibia siri kidogo jinsi ya kuagiza bidhaa nchi zingine nje na China k**a vile Uturuki, India, Marekani, Dubai n.k 🔥🔥

💥Na uzuri ni kwamba mafunzo haya ni kwa vitendo hivyo basi utapata usimamizi wangu kwa hatua ya Awali mpaka ufanikiwe kuagiza mzigo yaani utakuwa bega kwa bega na mimi kieleweke🔥 in shaa Allah, Lengo ni ili upate uzoefu siku nyingine uwe unaagiza tu mwenyewe kwani utakuwa tiyari ushaiva ushakuwa mtaalamu)
💥KUJA INBOX KWANGU WHATSSAPP BONYEZA KIUNGA HIKI 👇👇👇
https://wa.me/message/FWLOXJEOR5VYL1

💥NJOO TUKUPATIE MAFUNZO KWA UAMINIFU 100%, USIENDE KWA WATU WAJANJA WAJANJA🔥🔥🔥🔥
01/05/2024

💥NJOO TUKUPATIE MAFUNZO KWA UAMINIFU 100%, USIENDE KWA WATU WAJANJA WAJANJA🔥🔥🔥🔥

Address

Pongwe
Tanga
21208

Telephone

+255747292427

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ABUU AYMAN online business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to ABUU AYMAN online business:

Shortcuts

Share

Category