12/05/2026
Anaitwa Rehema Ng'watu Mwanafunzi Wa Kidato cha nne kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe iliyopo Mkoani Tanga Wilaya ya Korogwe Aliyeshinda Tuzo ya Mwanamichezo Bora Wa K**e Kitaifa kutoka Tuzo za (BMT) Baraza la Michezo Tanzania Kwa Mwaka 2025
Hongera kwake, Hongera Uongozi Wa Shule Ukiongozwa na Mama Mauka na Mwalimu wake Wa Michezo Madam Mokiwa Kwa Usimamizi mzuri mpaka kufikia Hatua kubwa ya Kupata Tuzo ya BMT Kitaifa Kwa Mwaka 2025